Uongo hapo ni upi bwana mkubwa?

Mimi nshaacha kujibizana kwa hisia na hasira isipokuwa kwa facts & logic tu.

Hakuna mahali nimesapoti vitendo hivyo bali nilikuwa narekebisha makosa yako ya upotoshaji juu ya indulgence.
 
Kwenye uzi kama huu Faiza Fox humkosi akichekelea..anasahau maustadh wa madrasa kila siku wanalawiti watoto
 
ni bora sadaka itoke kwa wahitaji wa mitaani au wazee,masikini,wajane au wagonjwa wasio na ndugu hospitalini.
viongozi wa izi dini wanakula pesa za waumuni kizembe sana.
Wazee masikini nao wamewahi kuwa vijana..

Yaani wachezee ujana wao, uzeeni waseme hatujiwezi.!!
 
Kanisa katoliki linakabiliwa na kesi mbalimbali huko Duniani na limekua likikubali kumalizana na washitaki wake kwa kulipa fidia.

Huko New Jersey Marekani, Kanisa katoliki limekubali kuwalipa fidia waathirika wa ulawiti wa mapadri na maaskofu zaidi ya Dollar Millioni 87 ili kumalizana nao.

Swali, je waumini tuendelee kutoa michango na sadaka kulipia mapadri na maaskofu wanaolawiti watoto wetu na ndugu zetu?
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.

Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…