Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Huyu jamaa anavyojibu maswali inaonekana katulia. Tumtakie kila la heri. Maharusi wapya pia tuwatakie kila la heri. Mengine yote tuchukulie yamepita.
Labda alikuwa anapewa takoHuyu alikuwa anapewa nini ? Mbona mimi sijawahi kupata wa hivyo ? Kila siku analia na Flora
aah okey, nishakupata, du neno geni kwangu ndio kwanza nalisikia leo na uzee huu, asante cocochanel
Uko sasa mkuu naungana nawe.Msimlaumu sana mbasha yeye aliulizwa na mtangazaji wa EATV Sam misago anaongeleaje mtalaka wake kuolewa, sasa angekaa kimya aache kujibu alie? mbasha akajibu hana kinyongo na muoaji maana sie alie ivunja ndoa yake bali alie ivunja ni jamaa mmoja mtu maarufu tu, na akasema kuwa kabla ya huyo kumuoa flora alisha pita kwa wengi yeye anamtakia kila la hei kwenye ndoa yake maana alichwa yeye kwa kua Florah aliona mapungufu yake, tena mbasha alikuwa happy na afya nzuri sana, tumlaumu aliemtafuta kumuuliza haya maswali sio kumlau alie jibu.
Kwani hapo kalia? au mlitaka akatae kuhojiwa na mtangazaji. mbona kaongea vizuri tu.Huyu alikuwa anapewa nini ? Mbona mimi sijawahi kupata wa hivyo ? Kila siku analia na Flora
Wewe unajua kusikiliza. Jamaa katulia sana tu. Wala hana panic ila pia angekataa kujibu maswali watu wangesema bado ana hasira au kinyongo kwa "madam flora"Huyu jamaa anavyojibu maswali inaonekana katulia. Tumtakie kila la heri. Maharusi wapya pia tuwatakie kila la heri. Mengine yote tuchukulie yamepita.
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Huyu naye aache kujifanya ana mapenzi ya kifilipino, analia lia nini wakati ma single lady kina miss chagga Miss Natafuta wamejaa huku tele
Huyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiumembasha kaa kimya tu usijeonekana mfa maji
Mbona flora nae alizungumza jama.... Sema kwa mbasha yoote alozungumza ni sawa... Ila ktk swala la kutoana ktk levo za kimaisha + mkwanja ndani yake its bora angenyuti tu, cjaona haja ya yy kuzungumzia hayoMbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha
aliekosa busara ni aliemuuliza!!pia hata km ana machungu bora kayatoa kuliko kujiua.!!!wapo wanaojiuwa hasa vijanaHuyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume
. nhm dohh
Huyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume
Ndio maana wanamnyamazisha ili asimuumbue 'Mchunga kondoo yule'Mkuu vipi akae kimya.wakati ndoa yake imeharibiwa na yuleee.tunayemuita ni mchungaji wa kondoo wa bwana
Msimlaumu sana mbasha yeye aliulizwa na mtangazaji wa EATV Sam misago anaongeleaje mtalaka wake kuolewa, sasa angekaa kimya aache kujibu alie? mbasha akajibu hana kinyongo na muoaji maana sie alie ivunja ndoa yake bali alie ivunja ni jamaa mmoja mtu maarufu tu, na akasema kuwa kabla ya huyo kumuoa flora alisha pita kwa wengi yeye anamtakia kila la hei kwenye ndoa yake maana alichwa yeye kwa kua Florah aliona mapungufu yake, tena mbasha alikuwa happy na afya nzuri sana, tumlaumu aliemtafuta kumuuliza haya maswali sio kumlau alie jibu.