Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

aah okey, nishakupata, du neno geni kwangu ndio kwanza nalisikia leo na uzee huu, asante cocochanel

Ha ha haaaaa

Basi utakuwa mzee kunishinda mimi sanaaaa, maana nalo neno la enzi.

ID yako hadi leo nashindwa kuitamka ha ha haaaa, najaribu wapi. La wapi hilo?
 
Msimlaumu sana mbasha yeye aliulizwa na mtangazaji wa EATV Sam misago anaongeleaje mtalaka wake kuolewa, sasa angekaa kimya aache kujibu alie? mbasha akajibu hana kinyongo na muoaji maana sie alie ivunja ndoa yake bali alie ivunja ni jamaa mmoja mtu maarufu tu, na akasema kuwa kabla ya huyo kumuoa flora alisha pita kwa wengi yeye anamtakia kila la hei kwenye ndoa yake maana alichwa yeye kwa kua Florah aliona mapungufu yake, tena mbasha alikuwa happy na afya nzuri sana, tumlaumu aliemtafuta kumuuliza haya maswali sio kumlau alie jibu.
 
Uko sasa mkuu naungana nawe.
 
Huyu jamaa anavyojibu maswali inaonekana katulia. Tumtakie kila la heri. Maharusi wapya pia tuwatakie kila la heri. Mengine yote tuchukulie yamepita.
Wewe unajua kusikiliza. Jamaa katulia sana tu. Wala hana panic ila pia angekataa kujibu maswali watu wangesema bado ana hasira au kinyongo kwa "madam flora"
 
Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha

Mbona flora nae alizungumza jama.... Sema kwa mbasha yoote alozungumza ni sawa... Ila ktk swala la kutoana ktk levo za kimaisha + mkwanja ndani yake its bora angenyuti tu, cjaona haja ya yy kuzungumzia hayo
 
Huyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume
aliekosa busara ni aliemuuliza!!pia hata km ana machungu bora kayatoa kuliko kujiua.!!!wapo wanaojiuwa hasa vijana

heri wapatanishi.......................mm km maamuma wa kawaida namlaumu mchunga kondoo ambaye kashindwa kuwapatanisha.hata km sio chanzo cha mgogoro
km mungu ameweza kutusamehe je tumeshindwa kusamehana?ok yamepita ila hapo napoona utofauti mkubwa katika madhehebu hasa haya tec na cct upande mmoja na hao wengine upande mwingine.(jinsi walivyo lisimamia jambo mpaka mwisho.)
sijahudhuria ibada za ndoa muda ila nachojua hata waliokuwa wamefiwa na wenzi wakioana hawavai shela na wengine wanaenda mbali zaidi hata nguo nyeupe hazivaliwi kwa wanandoa, may be ni kwa makanisa yaliyo cct na tec au nimeishiwa fikra.
ukristo umejikita kwenye unyenyekevu na uvumilivu,siwakosoi ila najiona mshamba ndo maana godbless lema ana ndoto kuendesha siasa pamoja na kufungua kanisa.

women like bees always they are looking for better flavour of pollen in deferrent flowers or men like bees the do always looking for coloured flower

kwa tulio kwenye ndoa mungu atusaidie ili tusiwavunje vijana kuingia kwenye ndoa,asante mke wangu umenipa utulivyo wa mwili na roho nimeweza kulea familia yangu katika raha na shida,kukosa na kukosewa
 
Huyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume

Naomba ufafanuzi hapo unamaana gani [emoji1312] kwani Mbasha ni Mchaga? Nijuavyo Mimi asili na jadi Yake ni Mkoa wa Singida au siyo?
 
Msimlaumu sana mbasha yeye aliulizwa na mtangazaji wa EATV Sam misago anaongeleaje mtalaka wake kuolewa, sasa angekaa kimya aache kujibu alie? mbasha akajibu hana kinyongo na muoaji maana sie alie ivunja ndoa yake bali alie ivunja ni jamaa mmoja mtu maarufu tu, na akasema kuwa kabla ya huyo kumuoa flora alisha pita kwa wengi yeye anamtakia kila la hei kwenye ndoa yake maana alichwa yeye kwa kua Florah aliona mapungufu yake, tena mbasha alikuwa happy na afya nzuri sana, tumlaumu aliemtafuta kumuuliza haya maswali sio kumlau alie jibu.

Sometimes sio kila swali unaloulizwa na media ujibu sio mtihani ule useme utafeli. Sasa angalia kajibu nini hapo? Si ulofa tu huo.
 
Back
Top Bottom