Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Weeeeeeeee, nitakuwa sijipendi eeeeh, nimekwambia yule jamaa hasamehi hadi miaka 1000 na zaidi.

Miss Chagga, njoo huku umsaidie huyu joseph jjj. Jina la Aliye haribu ndoa ya Mr . E. Mbasha.
Mkuu una hofu gani au unacheti feki funguka bwaana, kama huna hatia unajiamini!!
 
Kuna maisha baada ya talaka. Nampongeza flora na wanawake wote kama wakina lady jdee ambao wanapitia manyanyaso na kuibuka washindi
 
Reactions: bht

Wote wanakula matunda ya matendo yao.

Ndiyo maana, Mr. Mbasha amemsema Flora kwenye hiyo clip kuwa alikuwa anatumika sana na hata aliyemuoa Kwa sasa bado anaweza akaachwa n'a mzinzi Flora kuolewa n'a mwingine tena.

Kwa hiyo, aliyeuza cheni alipewa noti bandia n'a Aliye nunua cheni alipewa cheni bandia.

Pole sana, kwa hizi dini kuwa wanafiki !
 
Kuna maisha baada ya talaka. Nampongeza flora na wanawake wote kama wakina lady jdee ambao wanapitia manyanyaso na kuibuka washindi

Aiseeeh,

Kweli, unaelewa historia ya Flora au siyo wewe uliyeandika !?
 
Mkuu una hofu gani au unacheti feki funguka bwaana, kama huna hatia unajiamini!!

Weeeeeee,
Ngoja nimtumie M-Pesa huyu mrembo, Miss chagga aje humu akutajie jina la huyo aliyeharibu familia ya Mbasha 😀😀😛😛😛🙂🙂🙂

Japo, sina uhakika kama Miss chagga atakuja !!

Vyeti fake kwenye familia yangu ni haramu siko kwenye hiyo kadhia.
 
Ingekua ni pesa,wanawake wote wangeolewa na matajiri,mbona mama yako aliolewa na baba yako bila kua na mipesa?

Kwa hiyo unajaribu kupingana na Neno la Mungu au? Maana mimi pale nimefanya kunukuu maandiko matakatifu Kama yalivyoandikwa ktk Biblia Takatifu !
 
Aiseeeh,

Kweli, unaelewa historia ya Flora au siyo wewe uliyeandika !?
Mi naijua historia yake full stori alikuwa mwimbaji wa kwaya ya bugando mwanza mjini akiimba sauti ya kwanza ktk matamasha kwa kuimba alikuwa tishio namjua vizuri kwa kuwa mimi ni ROBOTI
 
Hill neno
 
Mi naijua historia yake full stori alikuwa mwimbaji wa kwaya ya bugando mwanza mjini akiimba sauti ya kwanza ktk matamasha kwa kuimba alikuwa tishio namjua vizuri kwa kuwa mimi ni ROBOTI

Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaaa.
Nimecheka sana Aiseee Eti mimi ni roboti
 
Mbasha pole. Sasa ifike hatua ukae kimya ni kweli inauma lakini vumilia.

Haya ndio madhara ya mwanaume kuangalia tamthilia za kifilipino
Hahahahaaa! Mwanaume anaweka mto mapajani huku anatazama tamthilia kwa hisia na tu-machozi kwa mbaaalii! Pathetic!
 
Huyu alikuwa anapewa nini ? Mbona mimi sijawahi kupata wa hivyo ? Kila siku analia na Flora
Fikiria mapenzi ya tetea na jogoo
Halafu mbwa jike na mbwa dume......
Between tetea kiboko ana multipurpose exit! Mapenzi uzazi haja kubwa haja ndogo na Pengine romance hapohapo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Dogo anakula utamu .mbasha anahangaika na ubasha wake .tulia imesha toka hiyoooo
 
Mbasha naye c atulie tuu,,unajua ukimwongelea sana ex Mke wako yeye unampa bichwa ya kujifanya ahaaaa kumbe flan ananipenda eee,yeye saiv atafute na wa kwake atulie naye basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…