lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Mbasha sio mchaga. Tutake radhi wachaga, ulishawahi kuona mchaga anaoa msukuma?Huyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbasha sio mchaga. Tutake radhi wachaga, ulishawahi kuona mchaga anaoa msukuma?Huyu jamaa anatapa tapa sana,anawadharirisha wachaga wa kiume
Mkuu una hofu gani au unacheti feki funguka bwaana, kama huna hatia unajiamini!!Weeeeeeeee, nitakuwa sijipendi eeeeh, nimekwambia yule jamaa hasamehi hadi miaka 1000 na zaidi.
Miss Chagga, njoo huku umsaidie huyu joseph jjj. Jina la Aliye haribu ndoa ya Mr . E. Mbasha.
Lakini huyu mbasa kalipwa yale aliyoyafanya kabla ya kumwaoa flora kule mwanza kwa mtoto mmoja wa tajiri wa mabasi ya abiria GEITA mjini yalipobadilishwa matokeo ya vipimo vya HIV kuwa mtoto huyo wa tajiri ana HIV kumbe hakuwa nao
Kulipompelekea kijana yule kunywa sumu kwamba amekutwa na virus lakini vipimo vikarudiwa tena na baba yake kijana yule tajiri wa mabasi na kukutwa hana
Kitendo hicho kilipelekea yule dogo kushindwa kete na mbasha kwa vile anakaa Dar na kufunga nae ndoa kwa hiyo asisikitike malipo ni hapa hapa Duniani
Kuna maisha baada ya talaka. Nampongeza flora na wanawake wote kama wakina lady jdee ambao wanapitia manyanyaso na kuibuka washindi
Mkuu una hofu gani au unacheti feki funguka bwaana, kama huna hatia unajiamini!!
Ingekua ni pesa,wanawake wote wangeolewa na matajiri,mbona mama yako aliolewa na baba yako bila kua na mipesa?
Mi naijua historia yake full stori alikuwa mwimbaji wa kwaya ya bugando mwanza mjini akiimba sauti ya kwanza ktk matamasha kwa kuimba alikuwa tishio namjua vizuri kwa kuwa mimi ni ROBOTIAiseeeh,
Kweli, unaelewa historia ya Flora au siyo wewe uliyeandika !?
Hill nenoMsimlaumu sana mbasha yeye aliulizwa na mtangazaji wa EATV Sam misago anaongeleaje mtalaka wake kuolewa, sasa angekaa kimya aache kujibu alie? mbasha akajibu hana kinyongo na muoaji maana sie alie ivunja ndoa yake bali alie ivunja ni jamaa mmoja mtu maarufu tu, na akasema kuwa kabla ya huyo kumuoa flora alisha pita kwa wengi yeye anamtakia kila la hei kwenye ndoa yake maana alichwa yeye kwa kua Florah aliona mapungufu yake, tena mbasha alikuwa happy na afya nzuri sana, tumlaumu aliemtafuta kumuuliza haya maswali sio kumlau alie jibu.
Vyeti feki?Acha wenye vyeti feki watimuliwe tu... Wote hawa ni feki
Kwani hiyo 'v' veepiAiseeeeeeeh, basi tena sitakaa nitoe pesa bora niikose hiyo 'v'
Au bora tufanye exchange of goods by/with goods kama kwenye historia ya form one!
Bashite baba yakoMbona jamaa kajibu kwa utulivu tu hapo,nyie ni mabashite nini?
Kwani hiyo 'v' veepi
Mi naijua historia yake full stori alikuwa mwimbaji wa kwaya ya bugando mwanza mjini akiimba sauti ya kwanza ktk matamasha kwa kuimba alikuwa tishio namjua vizuri kwa kuwa mimi ni ROBOTI
Hahahahaaa! Mwanaume anaweka mto mapajani huku anatazama tamthilia kwa hisia na tu-machozi kwa mbaaalii! Pathetic!Mbasha pole. Sasa ifike hatua ukae kimya ni kweli inauma lakini vumilia.
Haya ndio madhara ya mwanaume kuangalia tamthilia za kifilipino
Ingekuwa mimi ndie Mbasha ningenyamaza kimya
mbasha kaa kimya tu usijeonekana mfa maji
Utamu wa asali hasa unapolamba na kidole cha shahada huacha madhara makubwaWashauri wa huyo Mbasha wangemshauri atulie, aachane na mambo yaliyopita, maisha yaendelee.
Fikiria mapenzi ya tetea na jogooHuyu alikuwa anapewa nini ? Mbona mimi sijawahi kupata wa hivyo ? Kila siku analia na Flora
ha ha haUtamu wa asali hasa unapolamba na kidole cha shahada huacha madhara makubwa