Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

Na anatafuta kiki sasa hivi, kupitia huyo huyo aliyemfanya afahamike.

Flora amesaidia kuwapa wanawake michuma matumaini, na kuonyesha wasisubirie waliowazidi bali waangalie walio na umri mdogo. Wapate unono moto moto, wa umri karibu sawa na wazee wajikalie hukooo.

Dogo dogo mchangamke, mdekezwe.

cocochanel, hapo nilipobold umemaanisha nini?
 
Mbasha kaa silent brother, kuongea Mengi unaonesha Udhaifu wako.
Najua inauma tena sana ila kubaliana na hali halisi.
 
mwambieni Akae kimya Asitake nizungumze, Nikimpiga asilalamike In Gwajima's voice
 
Maswal ya hivi huwa yanalenga kuzusha kitu fulan ambacho muulizaji anakuwa ameshakihisi,labda tuambie unahisi anapewa nn[emoji3][emoji3]
[emoji38][emoji38] sijui ndio maana nimeuliza
Hivi huyo Flora ana chura ?
 
Huyu jamaa anavyojibu maswali inaonekana katulia. Tumtakie kila la heri. Maharusi wapya pia tuwatakie kila la heri. Mengine yote tuchukulie yamepita.
 
images
[emoji3]nimecheka unamchokoza ili kanisa jumapili lijae?
 
Back
Top Bottom