mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji2] [emoji2] unataka akuamshie dude.m i mwenyewe namtaka huyu mchungaji nikimpata ntakula sadaka zake kilaiini sema sijui kuimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] unataka akuamshie dude.m i mwenyewe namtaka huyu mchungaji nikimpata ntakula sadaka zake kilaiini sema sijui kuimba
hahaha saaana tu[emoji2] [emoji2] unataka akuamshie dude.
HahahH ilo neno[emoji2] [emoji2] unataka akuamshie dude.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Atafute mzee naye aoe kama alivyofanya mwenzie;
Na anatafuta kiki sasa hivi, kupitia huyo huyo aliyemfanya afahamike.
Flora amesaidia kuwapa wanawake michuma matumaini, na kuonyesha wasisubirie waliowazidi bali waangalie walio na umri mdogo. Wapate unono moto moto, wa umri karibu sawa na wazee wajikalie hukooo.
Dogo dogo mchangamke, mdekezwe.
Maswal ya hivi huwa yanalenga kuzusha kitu fulan ambacho muulizaji anakuwa ameshakihisi,labda tuambie unahisi anapewa nn[emoji3][emoji3]Huyu alikuwa anapewa nini ? Mbona mimi sijawahi kupata wa hivyo ? Kila siku analia na Flora
Ahsante kwa Majibu!tena hatuchagui mwanaume pesayako tu twende .
cocochanel, hapo nilipobold umemaanisha nini?
Huyo kikongweAch ubaguzi mkuu mbona cocochanel umemsahau
[emoji38][emoji38] sijui ndio maana nimeulizaMaswal ya hivi huwa yanalenga kuzusha kitu fulan ambacho muulizaji anakuwa ameshakihisi,labda tuambie unahisi anapewa nn[emoji3][emoji3]
aah okey, nishakupata, du neno geni kwangu ndio kwanza nalisikia leo na uzee huu, asante cocochanelMichuma ni mtu aliye single au niseme hana mupenzi.
[emoji3]nimecheka unamchokoza ili kanisa jumapili lijae?
ukitaka kujua jina lako la ukoo umchokoze huyu mzee[emoji3]nimecheka unamchokoza ili kanisa jumapili lijae?