Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

mimi nina habari ya muinjilist wangu nikiifikiriaga kanisan Siendagi

kwa kifupi
muinjilist alikua anachepuka huo mchepuko ukamloga hadi mkewe
as i speak mkewe yupo ndani kama zezeta huyo nu muinjilist wangu kanisa nililokulia

bora nioleewe na
Kiranga maana hili ni janga

ni emmis Kiranga ukimuona msalimie
 
Last edited by a moderator:
Akisikia Mchungaji lusekelo mzee wa upako lazima aropoke kanisani kwake ili azidi kumpunguzia wateja gwajima maana wachungaji ni full kushindana. Sema masai dada nimesikitika kusikia una boifrendi maana nilikuwa nakuvizia kimya kimya

hahahah jamani kuwa mchepuko ila usinirekodi njia kuu ikaniacha

maana michepuko siku hizi ni kurekodiana tu
 
Last edited by a moderator:
hahahah jamani kuwa mchepuko ila usinirekodi njia kuu ikaniacha

maana michepuko siku hizi ni kurekodiana tu

kwakweli nakubali kuwa mchepuko, tukiongea tunaongea kiujanja ujanja sana baadh ya maneno huyasemi km mbasha tu ili hata mmoja akimrekodi mwenzie ushahidi ukosekane
 
kwakweli nakubali kuwa mchepuko, tukiongea tunaongea kiujanja ujanja sana baadh ya maneno huyasemi km mbasha tu ili hata mmoja akimrekodi mwenzie ushahidi ukosekane

kabla hatujaanza uchepukaji faham wazi sipo tayari kumuacha mpenzi wangu
 
Hahahahahah! Ntajitahidi

Mkuu thebold nasubiria kwa shauku hilo jiwe la3, hakika kwenye hili saga tutafaham mengi.

Ubarikiwe sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mbasha inaonekana alikuwa na anachepuka na shemeji yake toka kitambo ila binti akalipwa kumchafua mbasha
 
Na jamaa anajua hasa kununua watu! Ipo siku nikaa fresh ntashusha mambo yake huyu jamaa, anavitu vingi sana evil watu hawavijui

Hawa manabii wa uwongo mda c mrefu wataumbuka huyo nabii ananyege kma fisi maji,zile kesi zke za kutembea na wake z wa2 naona kahonga mahakama.bt ile ya mchaga imemshinda na nyumba imeenda
 
Masai Dada punguza hasira,ungekua hakimu wa hiyo kesi ubgemfunga miaka yote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aibu tu hii. Kama ni kweli atakuwa amejila kwa maneno yake mwenyewe. Kabla ya kutoka public alitakiwa amwone mwanasheria amshauri cha kuongea.
 
Hiyo kweli hawa manabii wanapenda papuchi balaa ila jamaa ajitokeze then apate dhamana awaumbue 2 flora na gwajima wke
 
Last edited by a moderator:
Aibu tu hii. Kama ni kweli atakuwa amejila kwa maneno yake mwenyewe. Kabla ya kutoka public alitakiwa amwone mwanasheria amshauri cha kuongea.

Bro mbasha bdo hajapata wajanja wampe mbinu mbona hiyo kesi ina dhamana tu,ajitokeze akipata dhamana amuumbue huyo gwajima hadharani,huyo bibie mama huruma kitambo tu
 
[QUO TE=tedo;9689220]Ni hatari....Duuh jamaa soon atachezea mvua( 60/2 )....[/QUOTE]

Mkuu point of correction ni 90/3

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Hii ishu toka mwanzo niliwaambia ni changa la macho tu hapa hakuna kesi ya ubakaji labda uzinifu...Tena wakichunguza zaidi unaweza kuta hicho kitoto kina miaka ata zaidi ya ishirini..
 
Hawa manabii wa uwongo mda c mrefu wataumbuka huyo nabii ananyege kma fisi maji,zile kesi zke za kutembea na wake z wa2 naona kahonga mahakama.bt ile ya mchaga imemshinda na nyumba imeenda

Yani awa walikuwa wanakazana hotelini,wakishamaliza kupigana miti wanaingia church...Gwajima anashika mic kuhubiri akimaliza anamwachia frola mic apige pambio...manina ndio maana uko makanisa ya ovyo badala ya kuenda kupata baraka,mnaishia kujazwa mikosi tu.
 
Hii ishu toka mwanzo niliwaambia ni changa la macho tu hapa hakuna kesi ya ubakaji labda uzinifu...Tena wakichunguza zaidi unaweza kuta hicho kitoto kina miaka ata zaidi ya ishirini..

Matumbo huyo binti nimemuona kitambo atakua kati 18 au 20 ila flora na wadogo zake micharuko kitambo 2,mimi nlijua n mchezo hpo ila mbasha nae ajipange vizuri toka lini m2 kabakwa anapelekwa kwa mchungaji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…