hastahili msamaha hata kidogo due to the following:
1:ANADHARAU SANA HASA PALE ALIPOSEMA sijakupigia tupige story bali nimekupigia kuomba msamaha which means hata kumbaka alimwambia hivyo hivyo vua kufuli BEND OVER!!! .lakini pia ni wazi kwamba hata nyuma ya pazia hana uhusiano mzuri na shemejie
2:ANATUMIA VIJIHELA VIDOGO KAMA FIMBO.hivi huyu angekua kama kina mengi ingekuaje????watoto wa shule si wangekoma.,pili je wale wanaosaidiwa??sasa mtu kutoa elf 15 ndo anaongea kama risala yaani kaitaja kama mara 3...inaelekea ni mchezo wake kuhonga na kula PAPUCHI ZA WATU HOVYO
3:ANAMYANYASA MKE WAKE BI FLORA.ni dhahiri kwamba ana mnyanyasa ni kama kumwambia mkeo uliemuoa kijijini bila mimi hata kuoga usingejua, jambo ambalo ni la kusikitisha
4:HASTAHILI TENA KUWA NYUMA YA KAZI ZA FLORA.hata kama huyu bwana hatasamehewa kuwa nyuma ya kazi za flora ni uzalilishaji wa ibada ya nyimbo,na hakuna atakaeweza kubarikiwa tena na kazi zake LABDA MCHUNGAJI MAXMILLAN ALIEKUTWA AKICHEZEWA NA WADADA UCHI
5:JAMAA NI MBULULA.kwa nini???kwa sababu watu huchepuka ndani au nje ya ndoa kwa makubaliano lakini si kubaka nimemuona katika tasnia ya uchepukaji ndo anaivamia yawezekana alikua muaminifu hana skills za kuchepuka
6;HIYO NI SAUTI YA MBASHA.mwenye wimbo wake aweke link kuna wimbo flani aliimba na mkewe wa kuabudu kiasi kwamba sauti yake inasikika vyema
mwisho;HATA KAMA KATIKA HIYO SAUTI HAKUSEMA NI KWELI ALIBAKA,JE NI JAMBO GANI BAYA ALIFANYA?????tuangalie ndugu kutokunyima haki kwa wote???maana wabakaji wasipo adhibiwa kesho atabakwa mtoto wako na kupewa VVU at the age of 14