Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
ahsante sana The bold kwa maelezo hayo ya kina alaf kuna baadhi ya memba humu jf hupenda kuhukumu watu bila ku-natural justice kwa maelezo hayo naona limewashuka sasa. kitu kingine ni hawa wachungakondoo matajiri mwenye info zao wazimwage hapa ili tuweze watambua mapema
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tema yote mbona unatema vipande vipande?

Bibie mtata kitambo hana tofauti na bongo movie huo ulokole ni zuga tu wa2 wanamega,ima anajua hlo ila ndoa yao ilikua kibiashara zaidi alitoroshwa na kibabu cha kitasha hpo kitaa.
Akakaa nae wiki 2 halafu nyege zilipoisha akarudi kwa babu n stori katekwa cjui kapelekwa mahali hapajui,ila bdae tena akatoroka hpo ndio picha ikaungua mana mlinzi wa mtasha alitoboa siri kwa kumuonea huruma askofu kulola
 

Holly Mary!!!!!
 

leo sioshi vyombo vya mchana mpaka hii issue ifike kunako peak yake
 
Tiriri mkuu tunakusubiri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
3 kidonda changu wako maradhiii usononekpo kwangu simanzi

wacha movie iendelee
 
Mmmmh.......kuna mchungaji pale ni swahiba wangu ngoja nimwambie akaze roho achungulie kidogo huu uzi......
 
Kuna mburura nahisi ni misukule ya mzee wa hummer wananithreat PM eti wanatrace my IP address!! Nawashauri muendelee kutrace ila mkae mkijua wengine mnaotaka kutuchokoza vina virefu!! Ntawedekisha bahari, na tena ndio mmenitibua kabisa leo naropoka mpaka kesho mfunge kanisa kwa aibu!! Manina


NTARUDI WAKUU!
 

Mkuu usiogope chochote hayo matisho ya kitoto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…