Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Usiogope The Bold acha watress,waaibishe hapa mchana kweupe,Mungu wa kweli anakulinda
 

Weka username yake hapa tuanze nae
 

Ha ha ha ha,,mkuu nisaidie user name zao tena fanya haraka utume kwenye inbox yangu. Mi nta-trace IP zao....


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

Mapambano yaendelee tujue maovu yao.. yaani hawa watumishi kwann wanatufanya sisi majuha..
Why..
Mungu waanike wote watu wajue..kwann watumie kivuli cha dini kufanya maovu kiasi hiki?
 

hahaahah mods plzz msifunge huu uzi plZzzzzzzzz

tunataka jf iwe sehemu ya kurekebisha maivu katika makanisa ya kiroho maana naona shigongo kazidiwa
 
hahaahah mods plzz msifunge huu uzi plZzzzzzzzz

tunataka jf iwe sehemu ya kurekebisha maivu katika makanisa ya kiroho maana naona shigongo kazidiwa

Hajazidiwa ila kuna watu na watu anawaonea, kesho habari yote tunaweza kukuta kwenye gazeti lake
 
Dah jamaa kajikaanga mwenyewe. Ila hapa kuna kamchezo behind the scene wadau
 
Hajazidiwa ila kuna watu na watu anawaonea, kesho habari yote tunaweza kukuta kwenye gazeti lake

Nahisi sasa watu wataiogopa jf ni zaidi OFM ya Shigongo maana humu watu hawarembi wanatoa makavu live bila chenga.
 

Hao misukule wke hawana jipya mkuu tiririka wa2 waache kwenda kutoa sadaka nakufanywa wajinga,huyo bintiye kma una no zke ntumie nimpe upako wangu,mimi nlijua tu lazma wakutishe gwajima anajiona kapata mlupo kumbe fundi kitambo cajabu anapewa ndogo mana flora ana mpododo kias
 
The Bold please lete ishu nzima au namwambia Lema atuhamasishe kuandamana
 
Naanza kupata shaka hata ule mchuma wa mamilion wa Flora atakuwa kanunuliwa na Gwajima,pole kwa Emma jela inamsubiri,huku Gwajima ndo ajimilikishe kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…