Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

Ona kazi yake sasa
matumizi ya kawaida ni makubwa kuliko matumizi ya maendeleo.....
 
Suala la msingi kwenye hoja ya Mbatia na watanzania kwa ujumla, siyo ukubwa au udogo wa deni, kama utakua makini na kuwa neutral kuwaelewa, hata lingefika Tr 100. Hoja kubwa hapa tulidanganywa kwamba tunatumia pesa zetu za ndani (HATUKOPI KWA MABEBERU). Kwanini tulidanganywa??

Wewe binafsi hukushituka baada ya kuona ulidanganywa na uliyemuamini akikwambia HATUKOPI na sasa unakuja kuambiwa deni limefika Tr 71 kutoka Tr 41 aliloliacha Kikwete!?. Yaani kwa miaka mitano (5) deni limeongezeka Tr 30 !!!!!!!
 
Je amesahau kuwa ule mpango dhalimu wa kufufua chama chake ulisepa na sehemu ya huo mkwanja?
Anapaswa kuwa wa kwanza kuomba radhi kwa unafiki
 
Jk kwa Miaka yote aliyokaa madarakanj alikopa 25 trilioni, Mwendazake kwa miaka 4 amekopa 35 trilioni, Hapa pana tatizo
 
Hivi vichama vinavyoongozwa na wachagga tabu tupu.

Vyama vimekuwa vitega uchumi binafsi, wanajumbatia vyama ili wapate title za kuvimbia mjini
  • TLP ( Mrema )
  • CDM ( Mbowe )
  • NCCR ( Mbatia )
Wachaga wanawatesa sana
 
Hakuna chama kingine tangu tupate uhuru Kimeongoza zaidi ya ccm

wanyoshe maelezo watupe mchanganuo deni limefikaje hapaTanzania kwa mala ya mwisho kupigana vita ni mwaka 1978 sijasikia tena

Kila nikinunua bidhaa naomba receipts kodi nalipa inakuja deni kubwa hivi ndani ya muda nfupi nikiangalia Habari kila kona ya nchi watu wanalalamika Serekali tusaidie mwanzo hadi mwishi wa habari

Chama Cha Mapinduzi wakishindwa kunyosha maelezo zipigwe mmada mali za chama kulipa deni hakuna namna kuomba wana Nchi radhi kutapunguza deni?
 
Dona Kantre inadaiwa ?
 
Tuombwe radhi alafu tulipe ? Unaonaje kama waliosababisha haya kama wengine bado wapo ndio walipe percent kubwa ?
 
Dah mwendazake alikopa hela ya Nyerere Mkapa Mwinyi na Kikwete peke yake
 
Hivi Mbatiya bado ni Mbunge?
 
Serikali ya awamu ya 5, kwa zaidi ya 70%, iliendesha mambo yake kwa hila, hadaa na uwongo.

Serikali zote Duniani zinazominya uhuru wa habari huwa zinaendeshwa kwa kuwahadaa wananchi.
Hata China?
 
Hapo ni ccm anayoongoza nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…