Mbatia ni silaha ya mwisho ya CCM katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Hiii nccr iliyopo vunjo pekee yake ndio ifanye upinzani ulio mioyoyoni mwa WaTz usishinde uchaguzi? Polisi pekee ndio silaha ya ccm.
Kumbuka mwaka huu lile zindiko ule moto wa kichawi upumbazao akili haujakimbizwa sababu ya corona hapa zindiko limekiukwa,maana forozo ganze aliaagiza likimbizwe kila mwaka ili ccm itawale milele so chochote chaweza tokea sababu ya kukiuka zindiko, wakati mwingine Mungu huwa na makusudi yake akitaka kukomesha kitu.
 
Lakini anatone muhimu katika uchaguzi wa 2020. Ni kijiwe kidogo, tatizo hakijajipambanua kipo wapi- Upinzani au CCM? Hii ni hatari, kwani akijua siri za upinzani atazitumia kuvujisha kwa CCM na kuuangusha upinzani. Tusimdhararu!!!!
Upinzani umejengwa zaidi na matendo haramu ya ccm mpya.huwezipambana na adui kwa kumfanya adui
 
Hiii nccr iliyopo vunjo pekee yake ndio ifanye upinzani ulio mioyoyoni mwa WaTz usishinde uchaguzi? Polisi pekee ndio silaha ya ccm.

CCM hutumia silaha nyingi, polisi peke yake hawatoshi. Zifuatazo ni mbinu tofauti watumiazo CCM licha ya polisi:
  • Propaganda,uongo, hadaa ikiwa ni pamoja na kuwanunua viongozi wa upinzani
  • Halmashauri - Kupata upendeleo wa kiuchumi na wizi wa kura.
  • Kutumia makada kama wakuu wa mikoa na wilaya
  • Mahakama
Polisi na jeshi hutumika mbinu hizo za juu zikishindikana.
 
Yaaani ccm ingepambana na ttzo la ajira Kisha ikainua kilimo ikawadhibiti wasiojulikana hivi viwili tu upinzani ungejifia.Shida imeacha kupambana na shida zetu ikajipa majukumu yasiyo shida za watz ya kupambana na Mbowe kuliko kupambana na shida za watz.Lkn siwashangai Wasukuma kiasili ndio walivo sababu ya exposure huwa wanatabia za kupenda Sana ligi na bifu kuliko kuendekeza vitu vya msingi.Utapambana na watu utawaweza? Alishindwa sokoine nk watu utawakuta utawaacha.Pigania shida za watu na sio kupambana na watu,watu wapo Hadi mwisho wa dunia huwezi wamaliza.Kagame anauwa Hadi watusi wenzake stiil bado ajaweza kuwasilence.Hakuna mwanadamu yeyeto duniani aliyefaulu kupambana na watu akashinda zaidi ya kuukimbiza upepo.
 
Hivi!! Hatuwezi kufikicha Sana ubongo wetu zaidi ya kudhani kila mwenye kuhama Chama ananunulika?

Tukisema Tu kwamba, ni ulafi wa madaraka na watu kutafuta utajiri wa haraka kupitia Siasa haiwatoshi hawa wasaliti?

Maana hata unapowangalia wanaohama wenyewe wapowapo Tu wengine, hawana umaarufu wowote na hawana sifa zozote kwamba wamefanya nini huko walikotoka ni 0" wamelifanyia nini taifa napo ni bule Tu, Sana Sana ni kuongeeea Sana kwenye midia siku wanahama,

Wana nini hao Hadi wanunuliwe, njaa Tu na kupenda kazi wasizozijua
 
Hakuna umoja ndani ya upinzani ,dhambi ilianza kutendwa na Chadema yenyewe,acha itafunwe

Usimtishe Mbatia
Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani).

Malengo makuu ya mbinu hizi ni:
  • Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani na vyama pinzani katika uchaguzi 2020
  • Kuhakikisha NCCR- Mageuzi inasaidiwa kila hali kuweka wagombea yale maeneo ambayo CCM ni hoi kwa wapinzani
  • Kuuvunja nguvu upinzani kwa kuvuruga mipango yao ya awali ya kuunganisha wapinzani wote kuitoa CCM
  • Kuwapata viongozi wa upinzani wakihamia NCCR na kueleza kwa wananchi mabaya ya upinzani hasa ACT.
Katika juhudi hizo, CCM wanaonekana kufanikiwa angalau kwa kuwapata viongozi muhimu wa ACT- Wazalendo na CHADEMA kuhamia NCCR. Sijui mafanikio haya yataathiri vipi wapiga kura wa upinzani.

Ikumbukwe kuwa baada ya ACT- Wazalendo kuimarika kwa kusomba wanachama wengi, imekuwa mwiba kwa CCM kama ilivyo CHADEMA. Hivyo CCM imelazimika kuviangukia baadhi ya vyama vya upinzani ili visiungane. Mpaka leo vyama vilivyokubali ombi hilo na kuunda umoja na CCM ni:
  • NCCR- Mageuzi
  • Chama cha Mrema (Katangaza hadharani kutoweka mgombea Urais na kumuunga mkono Magufuli)
  • CUF
  • Chama cha CHEYO
Madhara atayoyapata Mbatia baada ya uchaguzi 2020 ni mabaya sana. Kimsingi chama kitakufa baada ya uchaguzi kwa kupoteza imani kwa wanachama na wapenzi wake.

Huu ni wakati muafaka kwa Mbatia kujiuliza, italipa kweli njia anayoichukua kwa long term? Yupo tayari kukiua chama baada ya uchaguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile CCM ni chama HADAA, hakiwezi kutatua shida za watanzania hata kwa 10%. Si kilimo, si ardhi, si elimu just name it, hawawezi. Wanachokiweza ni propaganda tu!! Mwisho hata uchaguzi wa haki hawawezi kutoa hiyo dukuduku kwa wananchi. Angalia matakwa ya wananchi ya katiba mpya - wameshindwa kutatua tatizo hilo.

Hivyo sahau juu ya CCM ya jana, leo wala kesho kuweza kutatua matatizo ya wananchi, badala yake ni kupambana na viongozi wa upinzani na vitisho kwa wanachama wake.
 
Lakini anatone muhimu katika uchaguzi wa 2020. Ni kijiwe kidogo, tatizo hakijajipambanua kipo wapi- Upinzani au CCM? Hii ni hatari, kwani akijua siri za upinzani atazitumia kuvujisha kwa CCM na kuuangusha upinzani. Tusimdhararu!!!!
Nina hakika kila mmoja anajua kuwa Mbatia na NCCR yake, ni zana ya CCM dhidi ya upinzani.
 
Hakuna umoja ndani ya upinzani ,dhambi ilianza kutendwa na Chadema yenyewe,acha itafunwe

Usimtishe Mbatia

Sent using Jamii Forums mobile app

Umoja upo, ila makosa katika kuunda umoja huo yapo kama hayo ambayo CHADEMA waliyafanya. Tunajifunza kutokana na makosa.
Umoja kwa upinzani siyo option (hiyari) ni lazima kama wanania ya kuiondoa CCM madarakani ama hata kupata wabunge wengi. Hivyo ni lazima wawe na umoja, lakini hasimu wao CCM anafanya kila mbinu kuwasambaratisha.
 
Hivi!! Hatuwezi kufikicha Sana ubongo wetu zaidi ya kudhani kila mwenye kuhama Chama ananunulika?

Tukisema Tu kwamba, ni ulafi wa madaraka na watu kutafuta utajiri wa haraka kupitia Siasa haiwatoshi hawa wasaliti?

Maana hata unapowangalia wanaohama wenyewe wapowapo Tu wengine, hawana umaarufu wowote na hawana sifa zozote kwamba wamefanya nini huko walikotoka ni 0" wamelifanyia nini taifa napo ni bule Tu, Sana Sana ni kuongeeea Sana kwenye midia siku wanahama,

Wana nini hao Hadi wanunuliwe, njaa Tu na kupenda kazi wasizozijua

Ninachompendea CCM, ni kuwa hadharau hata mwiba mdogo. Yu na wasi wasi wakati wote, atamfuata hata mtoa maoni humu JF sembuse yule anayeweza kupiga kelele siku ya kuhama mtandaoni? Acha tu huwajui hawa....
 
ambacho CCM inafanya ni kuwachezesha wapinzania karata ambayo wapinzani wataicheza halafu badala wanakuja kushtuka kuwa walipewa karata ambayo haifai kuchjeza kwa makusudi,ACT Wazalendo iliitwa CCM B halafu leo wanakuja watu wanataka ACT iungane na CDM,maoni mazuri ili wakumbuke kuwa ilikuwa ni tawi B.
 
Siasa ni watu. Ukishapata watu hakuna atakayekuita timu B tena, amini usiamini. Leo CUF, NCCR, Mrema wanaweza kuwa CCM B, Lakini ACT yupo kwenye level ya CHADEMA.

Ni kosa kudhani mwanao hakui, kwa vile ulikuwa ukimpeleka shule juzi.

ACT leo inaheshima yake kutokana na wanachama iliyowapata. Na wanachama ndio tishio, kwani unaweza hata ukamwambia mtawala usiniguse.
 
Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani).

Malengo makuu ya mbinu hizi ni:
  • Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani na vyama pinzani katika uchaguzi 2020
  • Kuhakikisha NCCR- Mageuzi inasaidiwa kila hali kuweka wagombea yale maeneo ambayo CCM ni hoi kwa wapinzani
  • Kuuvunja nguvu upinzani kwa kuvuruga mipango yao ya awali ya kuunganisha wapinzani wote kuitoa CCM
  • Kuwapata viongozi wa upinzani wakihamia NCCR na kueleza kwa wananchi mabaya ya upinzani hasa ACT.
Katika juhudi hizo, CCM wanaonekana kufanikiwa angalau kwa kuwapata viongozi muhimu wa ACT- Wazalendo na CHADEMA kuhamia NCCR. Sijui mafanikio haya yataathiri vipi wapiga kura wa upinzani.

Ikumbukwe kuwa baada ya ACT- Wazalendo kuimarika kwa kusomba wanachama wengi, imekuwa mwiba kwa CCM kama ilivyo CHADEMA. Hivyo CCM imelazimika kuviangukia baadhi ya vyama vya upinzani ili visiungane. Mpaka leo vyama vilivyokubali ombi hilo na kuunda umoja na CCM ni:
  • NCCR- Mageuzi
  • Chama cha Mrema (Katangaza hadharani kutoweka mgombea Urais na kumuunga mkono Magufuli)
  • CUF
  • Chama cha CHEYO
Madhara atayoyapata Mbatia baada ya uchaguzi 2020 ni mabaya sana. Kimsingi chama kitakufa baada ya uchaguzi kwa kupoteza imani kwa wanachama na wapenzi wake.

Huu ni wakati muafaka kwa Mbatia kujiuliza, italipa kweli njia anayoichukua kwa long term? Yupo tayari kukiua chama baada ya uchaguzi?
Hope utaufanyia kazi ushauri wako.
 
Uzuri nccr na tlp vinafahamika Moshi pekee,hii nayo imeshabuma Kama ile ya kuuwa upinzani kwa kutumia wasiojulikana,polisi, DPP,wakurugenzi, manunuzi na teuzi,msajili.Ccm,cuf,nccr,tlp watachezea kipigo kitakatifu toka kwa ACT na CDM uzuri Zitto na Mbowe ni miamba iliyogomea manunuzi ili kulinda heshima zao.
Njia rahisi na nyepesi ya kuuwa upinzani ni kutatua shida za watz mfano ajira,afya,elimu,njaa,nk sijui kwann awataki kuelewa,hizo zingine wataikausha hazina na awatofaulu.Tuombe tu mabeberu yazidi kukaza nati ya kushinikiza uchaguzi huru.
Wewe chadema endelea tu kumsifia Mh. Zitto utajikuta amemfunika Mh.Mbowe ndo utaelewa somo vzr
 
Back
Top Bottom