Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kawakamate uwape uhainiMatapeli hao.
Wao nani bana
kenge hasikii mpaka masikio yatoke damu sasa mjinga kama wewe ndio uwaone maaskofu matapeli kuliko huyo mama yako mafi kweliMatapeli hao.
Wao nani bana
kwani nchi ya mama yako?TEC ndio kina nani? Hakuna kitakachobadilika.
Nchi sio kanisa
Wanafahamu hilo kwamba hana Mamlaka kwenye hilo. Ila wamepaza sauti wahusika wasikie na wamesikia.Huyo ni kijana asiye na mamlaka yoyote kikatiba, hana cha kufanya
Biteko nae hana cha kufanya zaidi ya kushauri tu.“Inavyoonekana ni kuwa wanaonufaika na mapungufu yaliyomo katika sheria za sasa, hawana haraka kufanya maboresho hayo.Wito wetu Maaskofu kwa mamlaka zinazohusika ni kuwa sauti na vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe"
Wakiwa na Nia ovu hawatabadili Katiba lakini wakiwa na Nia njema na Mama Tanzania watafanya hayo marekebisho“Inavyoonekana ni kuwa wanaonufaika na mapungufu yaliyomo katika sheria za sasa, hawana haraka kufanya maboresho hayo.Wito wetu Maaskofu kwa mamlaka zinazohusika ni kuwa sauti na vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe"
Ujumbe unafika lakiniWanafahamu hilo kwamba hana Mamlaka kwenye hilo. Ila wamepaza sauti wahusika wasikie na wamesikia.
Kwa nini Sasa wanatumia nguvu hivyo. Wao wanajua mpambano wanaoupata.CCM ni wajinga sn, wanaweza kufanya marekebisho na bado wakashinda vizuri sn sababu wana rasilimali za kutosha + media zote zipo upande wa CCM
Ni mawazo mfu, wewe una rasilimali za kila aina unaogopa chama ambacho hakina chochoteKwa nini Sasa wanatumia nguvu hivyo. Wao wanajua mpambano wanaoupata.
Sio ya TEC,wenye dhamana ni CCMkwani nchi ya mama yako?
Hakuna Mabadiliko yatakayofanyika ku suit maslahi ya vikundi vichache vya watu kidini na Mabeberu.Wewe ni mjinga usiyeelewa chochote, jihurumie kwa kukosa uelewa.
Huelewa maana ya Taifa. Taifa ni mkusanyiko wa jamii zote zilizomo ndani ya nchi. Ukiwaondoa wakatoliki wote, waislam wote, waprotestant wote, hakuna taifa. Hivyo kundi lolote, kwa kutegemea uwingi wake, likipaza sauti, hakuna mwenye akili anayeweza kupuuza, kwa sababu ni entity muhimu katika Taifa.
Ni kuwapiga tu za uso mpaka akina Malaria 2 na Bakwata yao, wajilipue kwa mabomu.“Inavyoonekana ni kuwa wanaonufaika na mapungufu yaliyomo katika sheria za sasa, hawana haraka kufanya maboresho hayo.Wito wetu Maaskofu kwa mamlaka zinazohusika ni kuwa sauti na vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe"
Umeshiba zako magimbi, unatema tu hewa chafu.TEC ndio kina nani? Hakuna kitakachobadilika.
Nchi sio kanisa
Wakiitwa ikulu hao maaskofu kesho wataimba ccm mbele kwa mbeleNi kuwapiga tu za uso mpaka akina Malaria 2 na Bakwata yao, wajilipue kwa mabomu.
Sasa nyie mnataka mtuharibie amani tushindwe kulima Hadi magimbi?Umeshiba zako magimbi, unatema tu hewa chafu.
Ccm ni janga la taifaWakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC, Eusebius Nzigilwa amesisitiza umuhimu wa kusikilizwa kwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
“Tunaomba kauli hizi nzuri za kututia moyo za viongozi wetu zionekane kwa vitendo katika hatua zote za uchaguzi, kwani baadhi ya matukio tuliyoyashuhudia kwenye jamii yetu hayaoneshi watendaji au wasimamizi wa sheria wanatekeleza kile kinachoahidiwa na viongozi wetu,” amesema.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huku waamini wakimsikiliza kwa utulivu, Askofu Nzigilwa amesema: “Kinachoahidiwa hakiendani na kile kinachotendeka. Ndugu mgeni rasmi (Dk Biteko, Naibu Waziri Mkuu) kwa muda mrefu kumekuwa na sauti zinazotaka Katiba na sheria zinazosimamia uchaguzi wetu zifanyiwe marekebisho ama maboresho ili ziendane na hali ya demokrasia ya vyama vingi.”
“Inavyoonekana ni kuwa wanaonufaika na upungufu wa sheria za sasa hawana haraka ya kufanya maboresho hayo, na wale wanaojiona wanaathirika na upungufu huo ndio wanapaza sauti kutaka mabadiliko ya Katiba na sheria.”
“Wito wetu sisi maaskofu kwa mamlaka zinazohusika ni kuwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko hayo zisikilizwe na zisipuuzwe,” amesema Nzingilwa ambaye ni Askofu wa Jimbo la Mpanda.
Akihitimisha salamu za Maaskofu amesema:“Tunaomba maboresho stahiki kwenye mifumo ya uchaguzi yafanyike ili kuruhusu ufanyike kwa uhuru na wa haki katika nchi yetu, vinginevyo chaguzi zetu zitaendelea kugubikwa na dosari nyingi kama zilivyoshuhudia kwenye chaguzi za hivi karibuni.”
Akigusia suala la uchaguzi kama lilivyozungumzwa na maaskofu, Dk Biteko amesema: “Kama mlivyoahidi na mimi nitakwenda kumwambia Rais ahadi ya kanisa kuendelea kuliombea Taifa ili uchaguzi umalizike kwa amani.”
Dk Biteko amesema: “Ujumbe alioutoa Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu, jamani Askofu akisema jambo hajibiwi.” Kauli hiyo iliibua shangwe kisha Dk Biteko akasema: “Hapana ni amina, baba nimepokea. Lakini jambo moja ambalo nina amini ni Rais wetu anatamani Watanzania tuwe kitu kimoja.”
View attachment 3318342
Nchi ni yawanachi, dhamana siyo umiliki. Dhamana inaweza chukuliwa muda wowote na mmiliki na kumkabidhi mwingine Kwa muda atakaye kidhi matakwa ya dhamana hiyo.Sio ya TEC,wenye dhamana ni CCM
Wananchi hawajaamua ila tunasikia vikundi vya kihuni vya TEC na ChadomoNchi ni yawanachi, dhamana siyo umiliki. Dhamana inaweza chukuliwa muda wowote na mmiliki na kumkabidhi mwingine Kwa muda atakaye kidhi matakwa ya dhamana hiyo.