Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,301
- 3,042
Wanawake ni walaghai sana
Totally Tabura lasaWananchi hawajaamua ila tunasikia vikundi vya kihuni vya TEC na Chadomo
SS MBN MTU MWENYEWE ALIYEMWEKA SI WA HUKO ANAKOWALAGHAI?Ndio ulaghai huo wa huyu mama. Kila jambo kwake ni lazima afanye ulaghai na kuhadaa watu.
Historia inaniambia bila ya TEC huwezi kutawala kwa amani moyoni, utafadhaikaHakuna Mabadiliko yatakayofanyika ku suit maslahi ya vikundi vichache vya watu kidini na Mabeberu.
Nchi hii sio Mali ya TEC wanaoteea muuminini wao kwenye kesi ya uhaini.
Kinachotakiwa ni kutawala mambo ya amani moyoni sio lazima.Historia inaniambia bila ya TEC huwezi kutawala kwa amani moyoni, utafadhaika
Madhara ya kiongozi wa kukodi kutoka nchi jirani. Hata ndugu Nchimbi kila anakokwenda wengine wanamwita kwa cheo cha makamu wa raisi pia tuna makamu wa raisi ndugu Mpango.Huyo ni kijana asiye na mamlaka yoyote kikatiba, hana cha kufanya
Hata hujui ulichokiandika. Tanz ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi. Iweje chama shindani iweke mgombea wake, itafute uwanja, imteue refa na wasaidizi wake. Halafu mkiambiwa that's not fair mnawabambikia kesi ya uhaini wasemaji. NO REFORMS NO ELECTION.Hakuna Mabadiliko yatakayofanyika ku suit maslahi ya vikundi vichache vya watu kidini na Mabeberu.
Nchi hii sio Mali ya TEC wanaoteea muuminini wao kwenye kesi ya uhaini.
Hayo ni ya kwenu,,kwani TFF ya Karia inapopanga marefarii Huwa wanachezesha Ili Timu ya Karia au Timu zao zishinde.Hata hujui ulichokiandika. Tanz ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi. Iweje chama shindani iweke mgombea wake, itafute uwanja, imteue refa na wasaidizi wake. Halafu mkiambiwa that's not fair mnawabambikia kesi ya uhaini wasemaji. NO REFORMS NO ELECTION.
Ameshindwa kutumia nafasi hiyo vizuri. Sote ni mashahidi kwa chaguzi zilizopita. Ni upuuzi mtupu. Naomba uache kujitoa ufahamu. Hakuna mtu anaetetea uovu bali tunatetea HAKI itendeke kwenye uchaguzi.Hayo ni ya kwenu,,kwani TFF ya Karia inapopanga marefarii Huwa wanachezesha Ili Timu ya Karia au Timu zao zishinde.
Rais anapewa mamlaka kuteua wajumbe,suala la wajumbe kutosimalia viapo vyao halihusiki na ccm au Rais aoiyewateua.
Haki gani? Kamal mliporwa si muende mahakamani? ACT wameenda wameshida kesi.Ameshindwa kutumia nafasi hiyo vizuri. Sote ni mashahidi kwa chaguzi zilizopita. Ni upuuzi mtupu. Naomba uache kujitoa ufahamu. Hakuna mtu anaetetea uovu bali tunatetea HAKI itendeke kwenye uchaguzi.
Hakuna mmiliki/mfuasi wa timu anaeteua refa toka kwenye timu yake. Acha ujinga.
Yeye hayo hayajui. Anachojuwa ni kuwa mtu wa huko, kwa kuwa kijiografia ni mwelekeo wa huko.SS MBN MTU MWENYEWE ALIYEMWEKA SI WA HUKO ANAKOWALAGHAI?
hiyo dhamana wamepata kwa nani zaidi ya kuiba chaguziSio ya TEC,wenye dhamana ni CCM
Sauti zitaendelea kusikika hadi mwisho wa DahaliWakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC, Eusebius Nzigilwa amesisitiza umuhimu wa kusikilizwa kwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
“Tunaomba kauli hizi nzuri za kututia moyo za viongozi wetu zionekane kwa vitendo katika hatua zote za uchaguzi, kwani baadhi ya matukio tuliyoyashuhudia kwenye jamii yetu hayaoneshi watendaji au wasimamizi wa sheria wanatekeleza kile kinachoahidiwa na viongozi wetu,” amesema.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huku waamini wakimsikiliza kwa utulivu, Askofu Nzigilwa amesema: “Kinachoahidiwa hakiendani na kile kinachotendeka. Ndugu mgeni rasmi (Dk Biteko, Naibu Waziri Mkuu) kwa muda mrefu kumekuwa na sauti zinazotaka Katiba na sheria zinazosimamia uchaguzi wetu zifanyiwe marekebisho ama maboresho ili ziendane na hali ya demokrasia ya vyama vingi.”
“Inavyoonekana ni kuwa wanaonufaika na upungufu wa sheria za sasa hawana haraka ya kufanya maboresho hayo, na wale wanaojiona wanaathirika na upungufu huo ndio wanapaza sauti kutaka mabadiliko ya Katiba na sheria.”
“Wito wetu sisi maaskofu kwa mamlaka zinazohusika ni kuwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko hayo zisikilizwe na zisipuuzwe,” amesema Nzingilwa ambaye ni Askofu wa Jimbo la Mpanda.
Akihitimisha salamu za Maaskofu amesema:“Tunaomba maboresho stahiki kwenye mifumo ya uchaguzi yafanyike ili kuruhusu ufanyike kwa uhuru na wa haki katika nchi yetu, vinginevyo chaguzi zetu zitaendelea kugubikwa na dosari nyingi kama zilivyoshuhudia kwenye chaguzi za hivi karibuni.”
Akigusia suala la uchaguzi kama lilivyozungumzwa na maaskofu, Dk Biteko amesema: “Kama mlivyoahidi na mimi nitakwenda kumwambia Rais ahadi ya kanisa kuendelea kuliombea Taifa ili uchaguzi umalizike kwa amani.”
Dk Biteko amesema: “Ujumbe alioutoa Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu, jamani Askofu akisema jambo hajibiwi.” Kauli hiyo iliibua shangwe kisha Dk Biteko akasema: “Hapana ni amina, baba nimepokea. Lakini jambo moja ambalo nina amini ni Rais wetu anatamani Watanzania tuwe kitu kimoja.”
View attachment 3318342
Kama kawaNo reform no election imeisha hiyo
Kama kaongezewa ulaji na ulinzi hajapigwaKatiba ya Tanzania inamtambua kama Waziri tu wa umeme, hicho cheo kingine kapigwa