Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Alidhani ataeatisha TEC kwa ile hotuba yake ya Juzi
Unajizima data wewe...kama huwajui TEC basi hata wazazi wako huwajuiTEC ndio kina nani? Hakuna kitakachobadilika.
Nchi sio kanisa
😀😀Katiba ya Tanzania inamtambua kama Waziri tu wa umeme, hicho cheo kingine kapigwa
TEC ni nani kwenye Nchi hii?Unajizima data wewe...kama huwajui TEC basi hata wazazi wako huwajui
Kwani Baada ya Tar 20 ya April uliona kilichofata Tar 24 Mahakamani? Yale ndio yalikuwa majibu.Alidhani ataeatisha TEC kwa ile hotuba yake ya Juzi
Wapigania haki na watumishi wa Kweli wa Mungu.TEC ni nani kwenye Nchi hii?
🚮🚮Wapigania haki na watumishi wa Kweli wa Mungu.
StupidTEC ndio kina nani? Hakuna kitakachobadilika.
Nchi sio kanisa
Sema,"nyumbu tumechoka". Usiwahusishe wananchi pendwa wa Tanzania na vitu vya kijinga. Mbona wananchi tuko busy na mambo yetu ya msingi na kwenye burudani Sasa tuko na ushindi wa Simba.....poleni sana!Ujumbe lazima ufike. Wananchi tumechoka
Wadini kwa kuhimiza HAKI kwa kila mTanzania kuchagua kiongozi anayemtaka?Hapa natakiwa kujibu kwa hoja, au nikiandika tu "wadini hao" inatosha?
Cc Mataga
Siku hiyo amani yetu itakua imeondoka kwa ujumla..Naomba ili lisitokee kamweSiku hawa watu wanatoka madarakani, nchi italipuka kwa furaha.