PreGE2025 Mbele ya Dr. Biteko, TEC wasema vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna Mabadiliko yatakayofanyika ku suit maslahi ya vikundi vichache vya watu kidini na Mabeberu.

Nchi hii sio Mali ya TEC wanaoteea muuminini wao kwenye kesi ya uhaini.
Historia inaniambia bila ya TEC huwezi kutawala kwa amani moyoni, utafadhaika
 
Huyo ni kijana asiye na mamlaka yoyote kikatiba, hana cha kufanya
Madhara ya kiongozi wa kukodi kutoka nchi jirani. Hata ndugu Nchimbi kila anakokwenda wengine wanamwita kwa cheo cha makamu wa raisi pia tuna makamu wa raisi ndugu Mpango.
Hii yote ni kutokana kuvunja katiba ya nchi na chama. Lakini yatakwisha na mzalendo wa kweli ataongoza.
 
Hakuna Mabadiliko yatakayofanyika ku suit maslahi ya vikundi vichache vya watu kidini na Mabeberu.

Nchi hii sio Mali ya TEC wanaoteea muuminini wao kwenye kesi ya uhaini.
Hata hujui ulichokiandika. Tanz ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi. Iweje chama shindani iweke mgombea wake, itafute uwanja, imteue refa na wasaidizi wake. Halafu mkiambiwa that's not fair mnawabambikia kesi ya uhaini wasemaji. NO REFORMS NO ELECTION.
 
Hayo ni ya kwenu,,kwani TFF ya Karia inapopanga marefarii Huwa wanachezesha Ili Timu ya Karia au Timu zao zishinde.

Rais anapewa mamlaka kuteua wajumbe,suala la wajumbe kutosimalia viapo vyao halihusiki na ccm au Rais aoiyewateua.
 
Ameshindwa kutumia nafasi hiyo vizuri. Sote ni mashahidi kwa chaguzi zilizopita. Ni upuuzi mtupu. Naomba uache kujitoa ufahamu. Hakuna mtu anaetetea uovu bali tunatetea HAKI itendeke kwenye uchaguzi.

Hakuna mmiliki/mfuasi wa timu anaeteua refa toka kwenye timu yake. Acha ujinga.
 
Haki gani? Kamal mliporwa si muende mahakamani? ACT wameenda wameshida kesi.

Pili mbona Chadema imeshinda Viti kibao tuu? Hao walishindaje Sasa?
 
SS MBN MTU MWENYEWE ALIYEMWEKA SI WA HUKO ANAKOWALAGHAI?
Yeye hayo hayajui. Anachojuwa ni kuwa mtu wa huko, kwa kuwa kijiografia ni mwelekeo wa huko.
Na hajui kuwa huyo mtu ni mkimbizi.
 
Sauti zitaendelea kusikika hadi mwisho wa Dahali
 
Kazi ya CCM wenyewe kupitia kwa Maaskofu,CCM wasipokutaka Wana mbinu nyingi sana
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…