Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.

Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na nakala yake kupatikana kwenye mtandao wa mahakama.
Awali Ngogo alishtakiwa kwa kosa la mauaji alilolitenda kinyume na kifungu cha 196 cha Kanuni ya Adhabu.

Ngogo wakati anatenda kosa hilo Septemba 2, 2022 katika eneo la Mkuyu kata ya Iganzo, mkoani Mbeya alikuwa na miaka 17.

Upande wa mashitaka ulieleza kuwa Ngogo alikiri kutenda kosa hilo na kuwa siku ya tukio alikwenda nyumbani kwa akina Faraja kwa lengo la kufanya naye mapenzi, ila marehemu hakuwa tayari ndipo alipomkaba shingo ili asipige kelele.

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.

Chanzo Mwananchi

Hapo kakusudia Au hajakusudia?
Upwiru unapoteza wanaume sisi
 
Jamaa kapendelewa!!👿 ukifuatilia mazingira ya kesi,sijui labda mtoa mada ndo kakosea maelezo!!!??
Na mimi nimeshangaa km mtoa mada hajakosea basi hiyo mahakama na hakimu wake wana shida..!! Kwanza huyo muuaji ana makosa mengi, kwanza kuvamia na kubaka. Na mwisho kuua.

Sasa inakuwaje wanampa kifungo cha mwaka mmoja?
 
Safi sana yaani kweli mwanamke na akili yako ukamnyime mwanaume mbususu...ah alistahili kufa huyo.
Unapata wapi ujasiri wa kumnyima mpenzi wako mbususu?
Hawa wanawake wanaa za kutuchezea mapumbuz sasa
 
Kwa mujibu ya haya maelezo mbona haya ni mauaji ya kukusudia?

Maana licha ya kumkaba akaona haitoshi akaenda kuchukua shoka na kumtwanga nalo kichwani.

Hivi scenario kama hii bado ikawa manslaughter?
Alikuwa na 17yrs...na aliua kutokana na hasira ya kunyimwa penzi na mpenzi wake.
 
Of course mtoto kuhukumiwa adhabu ya kifo haiwezekani lakini angepewa adhabu ndefu kidogo kwasababu mazingira yanaonesha wazi hiyo ni murder na sio manslaughter mkuu.
Mazingira tuliyopewa kwenye hii habari hayatoshi kusema ni murder

Maana murder ina husisha pre planning

Kwa habari unaona kabisa aliaanza kumkaba, alipoona bado marehemu hanyamazi ndipo akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo(kumbuka hatujui kama alimpiga upande bapa au alimjeruhi na upande mkali, ila habari inasema "alipoona marehemu hazungumzi tena" inaashiria alimpiga na upande bapa na sio kumuua)
 
Kwa mujibu ya haya maelezo mbona haya ni mauaji ya kukusudia?

Maana licha ya kumkaba akaona haitoshi akaenda kuchukua shoka na kumtwanga nalo kichwani.

Hivi scenario kama hii bado ikawa manslaughter?
Wanasema alikuwa na miaka 17 ( mtoto eti)

Sheria za kijinga kweli
 
Jamaa kapendelewa!!👿 ukifuatilia mazingira ya kesi,sijui labda mtoa mada ndo kakosea maelezo!!!??
Sidhani kama mambo yako kama ilivyoelezewa tu. Pengine kuna vitu vya kisheria ambavyo havijandikwa. Waandishi wengi wa Tanzania hawana taaluma ya wanachoandika au na pia elimu yao ni ya kuunga-unga.
 
Mazingira tuliyopewa kwenye hii habari hayatoshi kusema ni murder

Maana murder ina husisha pre planning

Kwa habari unaona kabisa aliaanza kumkaba, alipoona bado marehemu hanyamazi ndipo akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo(kumbuka hatujui kama alimpiga upande bapa au alimjeruhi na upande mkali, ila habari inasema "alipoona marehemu hazungumzi tena" inaashiria alimpiga na upande bapa na sio kumuua)
Mkuu murder haiangilii tu eti pre planning.

Ni mazingira mengi sana yanayotazamwa ili kupima kama palikuwa na murder ama lah.

Ukiegemea pekee kwenye pre planning basi utawaachia huru wauaji wengi sana.

Chukulia mfano wa mauaji ya hivi karibuni ya mwanafunzi huko Rukwa ambapo Mkuu wa shule alimwadhibu mwanafunzi kwa kutumia waya kitu kilichopelekea kifo cha mwanafunzi. Ukitazama hapo ni wazi kwamba kuna murder ingawaje Mwalimu hakuwa na pre planning ya kumwadhibu mtoto.

Hata yule mwalimu kule Bukoba aliyemwadhibu mwanafunzi hadi kupelekea kifo alihukimiwa kunyongwa hadi kufa licha ya kwamba hakukuwa na pre planning.
 
Mifano yote uliyotoa ni pre planning

Huwezi "kumwadhibu" mtu hadi kufa bila hapo katikati (kabla au wakati wa kumuadhibu) kuamua kumuua
 
Duh, kweli mkuu kama ndio uelewa wako umeishia hapa basi kazi ipo?

Kwamba wakati mwalimu anamuadhibu mtoto tayari anakuwa amepanga kumuuwa?🙆

Nakushauri uachane na mawazo kwamba ili murder itendeke basi sharti lazima kuwe na pre planning pekee.
 
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.

Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na nakala yake kupatikana kwenye mtandao wa mahakama.
Awali Ngogo alishtakiwa kwa kosa la mauaji alilolitenda kinyume na kifungu cha 196 cha Kanuni ya Adhabu.

Ngogo wakati anatenda kosa hilo Septemba 2, 2022 katika eneo la Mkuyu kata ya Iganzo, mkoani Mbeya alikuwa na miaka 17.

Upande wa mashitaka ulieleza kuwa Ngogo alikiri kutenda kosa hilo na kuwa siku ya tukio alikwenda nyumbani kwa akina Faraja kwa lengo la kufanya naye mapenzi, ila marehemu hakuwa tayari ndipo alipomkaba shingo ili asipige kelele.

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.

Chanzo Mwananchi
yani mtu anabeba ad shoka ili tu apewe mzigo??? dogo bila sahaka alikusudia, sema basi tu. UCHAWI UPO MKUU
 
Duh, kweli mkuu kama ndio uelewa wako umeishia hapa basi kazi ipo?

Kwamba wakati mwalimu anamuadhibu mtoto tayari anakuwa amepanga kumuuwa?🙆

Nakushauri uachane na mawazo kwamba ili murder itendeke basi sharti lazima kuwe na pre planning pekee.
Akili yako inakubali unaweza kumpiga mtu hadi akafa kwa "bahati mbaya"🤣

Safari bado ndefu kwakweli
 
Mtu akipiga kelele baada ya kwenda kwenu
Unachukua shoka akanyamaze kuzimu huko
Wanawake tusharuhusiwa kuwaua
kwa shoka
Na hivi jela mwaka tu unaua hata kumi kwani nini bana!!!

Hii hukumu hata sijaielewa nasubiri taarifa ihaririwe labda aliyeileta kaikosea.
 
Back
Top Bottom