Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Kesi ilikuwa ina mashahidi watatu upande wa mashitaka.
na Shahidi mmoja upande wa utetezi( ambae ndie mtuhumiwa.

Mashahidi wote wa upande wa utetezi hakuna alitoa ushahidi ambao unaeleza kilichotokea ndani hadi kupelekea Marehemu kufariki.

Kwhiyo hukumu imetolewa kulingana na na ushahidi wa mtuhumiwa.
Okay, sasa wewe unaonaje je mshtakiwa anastahili adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mauaji?
 
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kumuelimisha Mtu aliyejiandaa kubishana nawe bila hoja za misingi?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Dah, si unajua mkuu kila mtu na uelewa wake so najaribu kumueleza hoja yake haina mashiko kisheria linapokuja suala la mahakama kuangalia kama mauaji yalikuwa ya kukusudia ama bahati mbaya.

Mahakama ingekuwa ina deal na kuangalia jambo moja tu 'pre planning ' kama mkuu hapo juu anavyodai basi kesi za mauaji zisingekuwa zinachukua miaka kuamuliwa.

Tupo pamoja mkuu.
 
kitendo cha kutafuta shoka alikusudia kuuwa.
Exactly. Huyo alikusudia kuuwa baada ya kuona mambo yanakuwa mengi.

Huwezi kumtwanga mwanamke au hata mwanaume kwa shoka halafu eti iwe uliuwa kwa bahati mbaya.

Ingekuwa mauaji ya bila kukusudia endapo angeishia kumkabakaba tu lakini mtu anaenda kutafuta shoka anamtwanga nalo kisha iwe manslaughter?
 
picha yake tafadhari,....kama MAHAKAMA imeshindwa kutoa haki, nina uhakika WALIMWENGU watatoa haki stahiki,.....😡😠😠😡
 
Kuna jamaa yangu alimpiga jamaa bisibisi ya makalio kesi ilivyoenda mahakamani jamaa yangu akajitetea anamatatizo ya akili mahakama ikamuamuru aliyepigwa na bisibisi kumlipa jamaa yangu w🤣🤣🤣🤣
 
Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.
Na bado wanasema kaua bila kukusudia. Duh.
 
Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.😭😭😭
Duh kaua bila kukusudia

Ova
 
Back
Top Bottom