Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Of course mtoto kuhukumiwa adhabu ya kifo haiwezekani lakini angepewa adhabu ndefu kidogo kwasababu mazingira yanaonesha wazi hiyo ni murder na sio manslaughter mkuu.
Hapa JAMHURI ikate rufaa. Haiwezekani namna hii.
 
Ameukumiwa miaka michache yani kama alishika shoka ina maana alikusudia
Kushika shoka sio ishu,je alikuja nalo au alilikuta pale pale limezagaa.Nia ya kutoka kwake ilikuwa kuua au kusex?.Baada ya kuua hakufanya juhudi zozote za kuficha uhalifu.
 
Huyu mtoto atakuwa na undugu na Hakimu! Au Hakimu atakuwa amehongwa nyumba! Siyo bure.
 
S
Kwa mujibu ya haya maelezo mbona haya ni mauaji ya kukusudia?

Maana licha ya kumkaba akaona haitoshi akaenda kuchukua shoka na kumtwanga nalo kichwani.

Hivi scenario kama hii bado ikawa manslaughter?
Sheria haiangalii kitendo ulichofanya bali nia ilikuwa ni nini,Jamhuri lazima imshawishi hakim/jaji kuwa nia ya dogo ilikuwa ni kuua tangu anatoka nyumbani,Dogo nia ilikuwa kutomba,Shoka lilikuwa pale home kwa ajili ya kuni,inawezekana kuna mazingira yalimconvince hakim kabisa kilichotokea ni bahati mbaya.Swala la hakim kutoa hukum ndogo linachangiwa na vitu vingi maana hata kama sio murder case angeweza kumpa hata miaka 7.
 
Kushika shoka sio ishu,je alikuja nalo au alilikuta pale pale limezagaa.Nia ya kutoka kwake ilikuwa kuua au kusex?.Baada ya kuua hakufanya juhudi zozote za kuficha uhalifu.
Very poor reasoning mkuu. Kwamba kwakuwa hakutoka na shoka nyumbani kwake basi akikuta shoka eneo la tukio na akalitumia shoka hilo kufanya mauaji ndiyo exception ya kutokuwa liable kwa murder?

Kwa akili ya kawaida tu unapotumia shoka kumpiga nalo mtu unatarajia nini kama sio kumjeruhi vibaya ama kumsababishia kifo?

Mbaya zaidi baada ya mauaji alikimbia wala hakufanya juhudi zozote za kumuwahisha hospitali kwa matibabu ama kutoa taarifa sehemu husika.
 
Safi sana yaani kweli mwanamke na akili yako ukamnyime mwanaume mbususu...ah alistahili kufa huyo.
Unapata wapi ujasiri wa kumnyima mpenzi wako mbususu?
Hawa wanawake wanaa za kutuchezea mapumbuz sasa
Mzabzab kwenye moja na mbili.
 
Jamaa kapendelewa!!👿 ukifuatilia mazingira ya kesi,sijui labda mtoa mada ndo kakosea maelezo!!!??
Soma hukumu, hakuna sehemu kumeonekana kwamba alimpiga shoka, amesema alimkaba kisha akamsukuma akaangukia jiwe lilikuwa chumbani. Jiwe hilo lilikuwa linazuia kitanda.
 
S
Sheria haiangalii kitendo ulichofanya bali nia ilikuwa ni nini,Jamhuri lazima imshawishi hakim/jaji kuwa nia ya dogo ilikuwa ni kuua tangu anatoka nyumbani,Dogo nia ilikuwa kutomba,Shoka lilikuwa pale home kwa ajili ya kuni,inawezekana kuna mazingira yalimconvince hakim kabisa kilichotokea ni bahati mbaya.Swala la hakim kutoa hukum ndogo linachangiwa na vitu vingi maana hata kama sio murder case angeweza kumpa hata miaka 7.
Mkuu bado unaonesha uwezo mdogo wa kufanya reasoning.

Ingredients za murder zipo nyingi sio intention pekee kama ulivyokariri mkuu.

Pitia case laws mbalimbali uone namna mahakama mbalimbali zilivyofanya maamuzi ku determine kama mauaji yalikuwa ya kukusudia ama lah ndipo utagundua kukosekana kwa element moja pekee ya murder haiwezi kukuondoa automatically kwenye criminal liability.
 
siku ya tukio alikwenda nyumbani kwa akina Faraja kwa lengo la kufanya naye mapenzi, ila marehemu hakuwa tayari ndipo alipomkaba shingo ili asipige kelele.

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.
Haiingii akilini kwa matendo hao na kifungo cha mwaka 1....Hii ina tofauti gani na Khamis wa Magunia ya mkaa?
 
Very poor reasoning mkuu. Kwamba kwakuwa hakutoka na shoka nyumbani kwake basi akikuta shoka eneo la tukio na akalitumia shoka hilo kufanya mauaji ndiyo exception ya kutokuwa liable kwa murder?

Kwa akili ya kawaida tu unapotumia shoka kumpiga nalo mtu unatarajia nini kama sio kumjeruhi vibaya ama kumsababishia kifo?

Mbaya zaidi baada ya mauaji alikimbia wala hakufanya juhudi zozote za kumuwahisha hospitali kwa matibabu ama kutoa taarifa sehemu husika.
Ukienda kusikiliza kesi za mauaji kama hizo utanielewa ,kitu ambacho huelewi ni kuwa defence za kutoka murder to manslaughter haingaliwi umefanya nini.mtu anaweza hata kukuchoma na kisu au kukupiga risasi ilihali inajulikana ukitumia hizo silaha unaua mtu na akachomoka.Swala la silaha imetolewa wapi ni muhim sana.kwa mfano ukimfumania mkeo anacheat ukachukua kisu ukamchoma kwenye moyo.mwanasheria wako anaweza akakomaa na defence kuwa ulikuwa provocated lakini itaangaliwa kama hicho kisu ulitoka nacho home ina maana ulidhamiria kuua,Ila kama kilikuwa cha chakula umekiokota hapohapo eneo la tukio unaweza kuchomoka
 
Kwa mujibu ya haya maelezo mbona haya ni mauaji ya kukusudia?

Maana licha ya kumkaba akaona haitoshi akaenda kuchukua shoka na kumtwanga nalo kichwani.

Hivi scenario kama hii bado ikawa manslaughter?
Pitia all proceedings za kesi ili ujue ni grounds zipi zimetumika kuifanya kuwa manslaughter
 
Mkuu bado unaonesha uwezo mdogo wa kufanya reasoning.

Ingredients za murder zipo nyingi sio intention pekee kama ulivyokariri mkuu.

Pitia case laws mbalimbali uone namna mahakama mbalimbali zilivyofanya maamuzi ku determine kama mauaji yalikuwa ya kukusudia ama lah ndipo utagundua kukosekana kwa element moja pekee ya murder haiwezi kukuondoa automatically kwenye criminal liability.
Law is not about reasoning mkuu,its about what is legal and illigal.
 
Ukienda kusikiliza kesi za mauaji kama hizo utanielewa ,kitu ambacho huelewi ni kuwa defence za kutoka murder to manslaughter haingaliwi umefanya nini.mtu anaweza hata kukuchoma na kisu au kukupiga risasi ilihali inajulikana ukitumia hizo silaha unaua mtu na akachomoka.Swala la silaha imetolewa wapi ni muhim sana.kwa mfano ukimfumania mkeo anacheat ukachukua kisu ukamchoma kwenye moyo.mwanasheria wako anaweza akakomaa na defence kuwa ulikuwa provocated lakini itaangaliwa kama hicho kisu ulitoka nacho home ina maana ulidhamiria kuua,Ila kama kilikuwa cha chakula umekiokota hapohapo eneo la tukio unaweza kuchomoka
Kwahiyo mahakama haitakiwi kujiuliza mtu anapotumia shoka kumpiga mwingine anaelewa madhara yake ni nini?

Tatizo linakuja pale mtu unapokariri notes za darasani badala wewe mwenyewe kuwa na uwezo wa reason independently.
 
Mahakama haitakiwi kufanya independent reasoning bali ni sheria inasema nini.Ingekuwa hvyo basi watu wengi wangefungwa sababu ya kuburuzwa na hisia kama wewe.
 
Law is not about reasoning mkuu,its about what is legal and illigal.
Law is not about what? May be you are kidding mkuu.

Court has to critically reasoning any facts adduced by both prosecution and defence sides before reaching final decision.

Je, katika case at hand kulikuwa na any provocation kutoka kwa binti aliyeuawa?

At least huyo jamaa angekuwa in a good position to defend himself kama palikuwa na self defense, defence of necessity, provocation nakadhalika hapo angejitetea kwa kuegemea defences hizo.

Na hata ange rise hizo defences bado alitakiwa athibitishe uhalisia wake maana kesi ya mauaji sio jambo la mzaha mkuu.
 
May be murder but how about the age of the accused? Is it not factored in making judgement? What the law says if the accused is a minor hence incapable of making rational decisions?
 
Back
Top Bottom