Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Hii kitu hii, hii kitu hii kitu hii kitu hiii....
 
Mahakama haitakiwi kufanya independent reasoning bali ni sheria inasema nini.Ingekuwa hvyo basi watu wengi wangefungwa sababu ya kuburuzwa na hisia kama wewe.
Sina uhakika kama ulisoma Legal Methods ambapo kuna vipengele muhimu mahakama inatakiwa izingatie kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho.

Mfano reasoning of the court, ratio decidendai, abita dictum nakadhalika ni mfano wa mambo muhimu mahakama inayotakiwa kujiuliza.

Mahakama kufanya reasoning sio kwamba inatoa hukumu kwa hisia lahasha, bali lazima izipitie facts za pande zote na kuzichambua ili ku test na justify applicability na legality yake kwenye kesi husika.
 
Mleta maada au jaji kuna mmoja anaongopa

Yaaani Akabe, alifuate shoka mita kadhaa arudi apige kichwani then iwe manslaughter ya one year only?

Uchawi upo
 
Kushika shoka sio ishu,je alikuja nalo au alilikuta pale pale limezagaa.Nia ya kutoka kwake ilikuwa kuua au kusex?.Baada ya kuua hakufanya juhudi zozote za kuficha uhalifu.
Sawa, lakini kisheria amedhamilia kwasababu alimpiga marehem hakudhika akaendakuchukua shoka, na ilo shoka maelezo yake hayajaja vizuri hilo shoka kajanalo au kalikuta? ila moja kwa moja tunaamini shoka kalikuta kwa7bu wakutoa ushahidi kafa na pia nikweli walikuwa wapenzi au lah mwenye kuthibitisha hilo ni marehem kafa.
Ila alitakiwa ale nyundo 30+ au maisha kama unabisha rufaa ikwate
 
Kushika shoka sio ishu,je alikuja nalo au alilikuta pale pale limezagaa.Nia ya kutoka kwake ilikuwa kuua au kusex?.Baada ya kuua hakufanya juhudi zozote za kuficha uhalifu.
Sawa, lakini kisheria amedhamilia kwasababu alimpiga marehem hakuridhika akaendakuchukua shoka, na ilo shoka maelezo yake hayajaja vizuri hilo shoka kajanalo au kalikuta? ila moja kwa moja tunaamini shoka kalikuta kwa7bu wakutoa ushahidi kafa na pia nikweli walikuwa wapenzi au lah mwenye kuthibitisha hilo ni marehem kafa.
Ila alitakiwa ale nyundo 30+ au maisha kama unabisha rufaa ikwate
 
Sawa, lakini kisheria amedhamilia kwasababu alimpiga marehem hakuridhika akaendakuchukua shoka, na ilo shoka maelezo yake hayajaja vizuri hilo shoka kajanalo au kalikuta? ila moja kwa moja tunaamini shoka kalikuta kwa7bu wakutoa ushahidi kafa na pia nikweli walikuwa wapenzi au lah mwenye kuthibitisha hilo ni marehem kafa.
Ila alitakiwa ale nyundo 30+ au maisha kama unabisha rufaa ikwate
Sijaona sehem ya aliompiga zaidi ya kumkaba asipige kelele,inawezekana ndo ilikuwa style yao ya mapenzi.watu wengi wana sexual deviant sema anapokufa mtu mambo yanakuwa mengi na hisia zinatawala.
 
Kwamba umri nao hata km mdogo ni sawa kuua? 😥
Si sawa ila treatment yake ni tofauti na aliye over 18. Na ndio maana hata upande wa wanaume wakilala kimapenzi na binti under eighteen kesi ni ubakaji hata kama walikubaliana mtu anakula mvua 30. Mwanaume hatasema tulikubaliana
 
Mhm!! Kwahiyo kupewa kifungo cha mwaka ni sawa? Na wewe unakubaliana sababu under eighteen?! 😥
 
Mhm!! Kwahiyo kupewa kifungo cha mwaka ni sawa? Na wewe unakubaliana sababu under eighteen?! 😥
Kipimo cha miaka anayostahili mtu kufungwa ni jukumu la mahakama. Nimeona kesi kadhaa za watoto kuhusika kwenye mauaji hakukua na miaka mingi na wengine walifungwa kifungo cha nje.

Pia kwenye hizi kesi si mara zote haki hushinda bali utetezi hushinda dhidi ya haki.
 
Mahakama zina shida..
 
Mahakama zina shida..
Usiende mahakamani ukitegemea haki pekee ndio hushinda sometimes utetezi na pesa hushinda. Make sure you have money to get justice kwenye hii dunia ovu
 
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.

Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na nakala yake kupatikana kwenye mtandao wa mahakama.
Awali Ngogo alishtakiwa kwa kosa la mauaji alilolitenda kinyume na kifungu cha 196 cha Kanuni ya Adhabu.

Ngogo wakati anatenda kosa hilo Septemba 2, 2022 katika eneo la Mkuyu kata ya Iganzo, mkoani Mbeya alikuwa na miaka 17.

Upande wa mashitaka ulieleza kuwa Ngogo alikiri kutenda kosa hilo na kuwa siku ya tukio alikwenda nyumbani kwa akina Faraja kwa lengo la kufanya naye mapenzi, ila marehemu hakuwa tayari ndipo alipomkaba shingo ili asipige kelele.

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.

Chanzo Mwananchi
[emoji46]
 
HII NCHI INATAKIWA MTOTO AKIZALIWA TU, YAANI AKITOKA LABOUR WARD ANAELEKEA MIREMBE KWA AJILI YA BEDREST NA ATIBIWE KICHAA..NAHISI UKIZALIWA TANZANIA TU TAYARI UNAKUTA UNA UKICHAA WA ASILI AISEE!
ALL IN ALL "UCHAWI UPO"
 
Kwa mujibu ya haya maelezo mbona haya ni mauaji ya kukusudia?

Maana licha ya kumkaba akaona haitoshi akaenda kuchukua shoka na kumtwanga nalo kichwani.

Hivi scenario kama hii bado ikawa manslaughter?
What he did after the fact imemsidia.Alirukwa na akili akakimbia.
Na mimi nimeshangaa km mtoa mada hajakosea basi hiyo mahakama na hakimu wake wana shida..!! Kwanza huyo muuaji ana makosa mengi, kwanza kuvamia na kubaka. Na mwisho kuua.

Sasa inakuwaje wanampa kifungo cha mwaka mmoja?
Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la mauaji na siyo kubaka.Hukumu hutegemea na ushakisi ulioko mezani hivyo kama ushahidi ulielekeza kuua bila kukusudia ulitegema hakim/judge afanyeje?
 
What he did after the fact imemsidia.Alirukwa na akili akakimbia.

Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la mauaji na siyo kubaka.Hukumu hutegemea na ushakisi ulioko mezani hivyo kama ushahidi ulielekeza kuua bila kukusudia ulitegema hakim/judge afanyeje?
Kwahiyo ukiua ukiiambia mahakama hujakusudia hukumu kifungo cha mwaka mmoja jela? Na wewe unakubaliana? 🤔
 
Back
Top Bottom