Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Safi sana yaani kweli mwanamke na akili yako ukamnyime mwanaume mbususu...ah alistahili kufa huyo.
Unapata wapi ujasiri wa kumnyima mpenzi wako mbususu?
Hawa wanawake wanaa za kutuchezea mapumbuz sasa
Hapana kijana kakosa uzalendo, ya ni mpaka kuchukua shoka?
 
Pole kwa wafiwa na pole kwa kijana na familia yake pia.

Ila wanaums tuache kujitutumua, wanaume wanawapa mademu zao vitu/pesa znazo wauma sana wengi huwa ni wepesi kufanya mauaji.

Wanajiona wanahakimiliki juu ya nadem au wake zao kwahyo simu isipo pokelewa, akichelewa kufika homu, akisema hana mood au akimfumania demu au mke wake bhaasi kifo kitanukia around the cornner.
Mhonge au mpe mwanamke vitu vya zaiada kwako ili moyo wako usijione una haki miliki mtoto wa watu.
 
Back
Top Bottom