GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Hakukuwa na ushihidi kuwa alimvamia au kumbaka.Na mimi nimeshangaa km mtoa mada hajakosea basi hiyo mahakama na hakimu wake wana shida..!! Kwanza huyo muuaji ana makosa mengi, kwanza kuvamia na kubaka. Na mwisho kuua.
Sasa inakuwaje wanampa kifungo cha mwaka mmoja?