Mbeya: Askari wa JWTZ amuua Baba yake kikatili akimtuhumu ushirikina

Malezi siku hizi ni balaa kabisa, mabinti wanachinja mama zao, vijana wanachinja baba zao wa kuwazaa kabisa, Kuna kitu hakiko sawa kabisa kwenye jamii. Unawezaje kuchinja mama au baba yako aliyekulea mpaka hapo ulipo.

inaonekana bond kati ya mzazi na mtoto siku hizi inapungua sana,na sababu ni harakati za maisha,mzazi kukutana na mtoto ni usiku tena story zinazotawala ni za umesoma nini shule,sio story za mtu na rafiki yake.

enzi zetu japo wazazi walikuwa mbogo,ila ilikuwa nadra sana kusikia kitu kama hiki.
 
Wekeza kwa watoto ili wasije wakajikuta wana maisha ya stress wakakuona wewe mzazi ndiye chanzo cha kufeli kwao.
 
Wekeza kwa watoto ili wasije wakajikuta wana maisha ya stress wakakuona wewe mzazi ndiye chanzo cha kufeli kwao.

mhhj mkuu yule mrembo kule arusha kauawa na mwanaye wa kiume na hela ipo ya uhakika[emoji24][emoji24]
 
Atakuwa ni mchaga huyu akazamia huko mbeya sio bure. Fuatilia chimbuko lake Mana huyu aliyesema kuku.
Atakuwa anataka utajiri ama cheo
 
Kuna chuki gani.kwa iyo hata ukiwa mwizi ukichukiwa ni mafanikio. Mti wenye matunda ndo hupondwa usikariri unaweza kuta una tatizo ama nyoka amekaa juu ya mti.
 
Huu mwaka uishe kwakweli sio kwa matukio haya ya mauwaji kila uchwao
Ndio kwanza leo ni siku ya 12 tu.
Mungu atusaidie wazazi, watoto tunawahangaikia mwisho unaambulia mauti
 
Alas! Another Mwana Versus Mzazi tragedy. Kuna kitu kilifanyika kwenye malezi ya watoto hapa nchini kuanzia miongo miwili iliyopita ambacho matokeo yake tunayashuhudia kwa sasa. Utafiti wa kina unahitajika.
 
Ukweli nikwamba uchawi upo na unaoperate katika angle ya juu (spiritual world). How, kitu ambacho hakionekani kwa macho ya nyama kikudrive kutoa nafsi ya mtu mwingine.

Those who do not believe in magic will never find it.
 
haya Mambo Niya wachagaga,mbeya mnatuaibisha jmn ,hata nyny mmeanza hii tabia !!
 
Matukio yapo toka zamani sema kinacho saidia wakati huu ni wingi wa mass media, Ndomana tunaona matukio mengi zaidi kwani hulipotiwa haraka pindi yanapo tokea.
 
Ukweli nikwamba uchawi upo na unaoperate katika angle ya juu (spiritual world). How, kitu ambacho hakionekani kwa macho ya nyama kikudrive kutoa nafsi ya mtu mwingine.

Those who do not believe in magic will never find it.
Imani ya kijinga sana.
 
Bado vijana wa nchi nzima kuamka dhidi ya wazazi wao wa nchi hii kwa jinsi walivyoitenda nchi. Mauaji hayo ni hasira tu zitokanazo na hali wanayoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…