Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

Muda wa kulipa marejesho huu. Inatafutwaga sababu tu.
 
kuna mtu alibishana na mtu wa parking kwa deni la elfu moja, baada ya mda gari likafungwa chain ikabidi alipie 50,000 ili afunguliwe, kuna mambo inabidi kuyamaliza tu kwa namna yoyote hata kama hayapo sawa.
Wale mabaunsa wanaoitwaga kuja ku tow gari yenye mgogoro ndiyo walitakiwa wapigwe risasi mia mia kila mmoja, wale ni vibaka,wanakuja wamelewa huku wamevuta mibangi,hawaelewi hata ukiwaelewesha
 
The psychology behind owning a gun watching American movies ni kitu watu hawaelewi. A gun will make you live a gangster life, treating everyperson who throw dirty words an enemy then kaboom for no life saving reason u kill🙂

The moment you own a cobalt or the like around you, you feel like nobody should even answer you,You hardly use common sense everything feels kukinukisha.....
 
Amefanya vibaya sana, ila kati ya watu wapuuzi na wasiojielewa ni hao wa parking, wanajiona wababe sana, wana ujinga wa kutisha, wanaweza beba gari lake kupeleka yard kizembe tu, yani hao watu ni wajinga kweli...

Uko sahihi kabisa niko Mbeya ni ilinikuta hiyo Mwanjelwa nje ya soko, tumeongea tukakubaliana tuyamalize mmoja akaning’ang’ania twende ofisi za City anyway nilipofika sikutaka maelezo nikalipa laki 2. Japo ningekua na tatizo la afya ya akili lungeweza kutokea km hilo.
Japo si vizuri kutumia silaha kwa mambo km haya ila ni muhimu hawa watu wakatumia busara kwenye kazi yao.
 
Sasa picha ya gari yake ya nini?gari Wala halihusiani,na mtu kupigwa risasi!ushuru wa parking ni kwa kila gari,sio aina ya gari,kwamba kwa vile Hilux ilidaiwa 7500,ndio maana mtu kapigwa risasi?!
 

Watu wa hovyo sana hawa, anakudanganya, akishakufungia kule ndani ndo basi
 
Na washamba wengi sahv ndy wanamiliki silaha

Ova
Nashukuru Mungu kwetu arusha wamepungua sana,wengi walijirestisha wenyewe,ila sijui ni hali ya hewa ya arusha huwa inawafanya wakaazi wake wawe fyatu? Niliingiaga kwenye kiji pub flani maarufu mjini kipo ubavuni mwa hospitali ya seliani,kwa muda mfupi tu niliokaa hapo nilifanikiwa kuona watu wa3 tofauti wakichezea hivyo vi mfyatuko,ushamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…