Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Piga nyeto uondoe ujinga
 
Sugu hana miradi inayofadhiliwa na USaid au taasisi nyingine ya marekani.?

Msije mkaanza kudanganya watu kuwa marekani wanataka sugu awe mbunge wa mbeya mkatengeneza mgogoro wa kidiplomasia kwa kupenda sifa za kijinga.
 
Mkuu hivi serikali sio ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Sio ya watanzania?
 
Mkuu hivi serikali sio ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Sio ya watanzania?
Serikali ya JMT ni mali ya Watanzania ila kwa sasa imeshikwa na CCM hivyo kiutendaji kila kinachofanyika sasa ni serikali ya CCM. Kama ilivyo kwa mmiliki wa gari, akampa dereva, chochote kinachotokea kwenye uendeshaji wa gari lake, au ajali, mwendo kasi, kuharibika, responsible ni dereva na sio mmiliki, ila kwenye kulipia chochote hadi fines ni mmiliki, na gari likibeba nyara za serikali, likishikwa ni linataifishwa anayekula hasara ni mmiliki, hivyo ni muhimu kuchagua dereva makini.

Kwa nchi yetu Tanzania, it's very unfortunately hatuna dereva mwingine yeyote isipokuwa dereva huyu aliyepo is the one and only!.

P
 
Siku hizi wote wanapelekewa mung'anda.Tajiri mzembe kumuajiri dereva kilaza.
 
Mbeya ilitakiwa iwe Makao makuu ya nchi na Serikali badala ya Dodoma
 
Huyo balozi Amekwenda kutalii na kuangalia tumbili wanene wanene waliopo Mbeya 😁😁😁
 
Uliwahi sema umefanya kazi Ubalozi wa Marekani hivyo basi ulichoandika hapa sina sababu ya kukikataa labda nikajisomee ili kuongezea nyama kutokea hiki kidogo nilichokiona.

MFA naamini ni Ministry of Foreign Affairs, hii NV nashindwa kuzalisha full form yake, ninaomba unisaidie. Sasa kutokana na nilichowahi kusoma n.k niliwahi soma ya kwamba balozi haguswi na sheria za nchi aliyopo na kwamba ubalozi unahesabiwa ni nchi kiasi kwamba balozi anaweza fanya uhalifu akiwa majengo ya ubalozi na nchi mwenyeji akashindwa ingilia.

Niliwahi soma mifano ya hapo juu kwa balozi Georgi Ivanova wa Bulgaria akiwa Washington na Aljubeir wa Saudi Arabia akiwa New Mexico.

Kwanini ishu ndogo kama kutembelea sehemu ihitaji MFA iingilie?
 
Umetiririka vizuri mwisho ndio umeharibu.
Eti kwa hisani ya serikali ya CCM? Pasco nawe mbona ume accept to go that much low!
Nawe unataka kutuambia hili limekutokea?
 
Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…