Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)

Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba walizidiwa na umati kiasi cha Computer zao kuchemsha na kwa kuzidiwa na wingi wa watu.

Leo sitaki kuweka porojo wakati ushahidi umejaa tele , Jionee mwenyewe

 
Hahaha mbona unaonyesha karatasi na kalamu, au hapo ni baada ya computer kugoma?
 
We jamaa na Lucas mwashambwa ni kama pipa na mfuniko
 
huyo mvuta bangi hn akiili hafu chadema viongozi wake wote ni form four failure yaani vilaza watupu
 
Wakati wao wanaficha a mafichoni ngoja sisi tuendelee na kazi ya Ukombozi kimya kimya
 
We jamaa na Lucas mwashambwa ni kama pipa na mfuniko
Kunifananisha na huyo chawa ni kunidhalilisha , uliwahi kuona uzi wa Mwashambwa ulioambatanishwa na ushahidi wa picha ?

Mtu wa juzi chawa mnamfananishaje na mimi wa Zamani , nitukaneni matusi mengine jamani siyo hayo
 
viongozi wote wa Chadema ni form failure wote kuanzia yule Dj mpaka yule mwizi wa magari
 
Kunifananisha na huyo chawa ni kunidhalilisha , uliwahi kuona uzi wa Mwashambwa ulioambatanishwa na ushahidi wa picha ?

Mtu wa juzi chawa mnamfananishaje na mimi wa Zamani , nitukaneni matusi mengine jamani siyo hayo
Vikorombwezo vyenu..........dabo impakti vandame
 
Sugu kidigitali mnatumia kalamu na karatasi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Chadema mmeishiwa kwa kweli
 
Computer zachemka!!!! Kila kitu nyie ni deal tu!!!

Mwenyekiti anajenga magorofa kwa Ruzuku lakini kwenye vifaa vya kazinanunua computer za mitumba!!

Ila wachaga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ