Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

kawaida yake kuongeza mbwembwe kwenye habari zake
Mie nilishasema, ...ipo siku itabidi tu tujitokeze hadharani, kwasababu ambazo haziwezi kuzuilika.

... mfano Kupokea tuzo makao makuu JF and so forth -
... so far nimeona picha ya Mzee wetu Mohamed, Kaka Mwanahabari nguli Pascal Mayalla...na wengine wawiwli watatu, wakipokea tuzo zao hadharani(kuna picha)zaidi ya hapo hawa wengine kina Mshana, Umughaka Heriel, Mwashambwa, na hawa wa madawa ya Kumeza kupuliza na Kupaka Kina Mycine Cytes Mycime wanambwembwe etc-wakati huo ukifika, itakuwa kama tumeona mazimwi.😇😆😆😆🤭
 
Kama ubongo wamechukua unadhani macho watakuachia ?
download.gif
 
huyo mvuta bangi hn akiili hafu chadema viongozi wake wote ni form four failure yaani vilaza watupu
Mfumo wako wa elimu ,ulioletwa na serikali ya CCM ndio unatuzalishia mazuzu kama wewe, Rwanda imeenda kutafuta English teachers Zimbabwe wakati kuna English speaking country mlangoni mwao!!,royal families zimefanikiwa mno kutuzalilishia mazuzu wanaosubiri kupangwa
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)

Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba walizidiwa na umati kiasi cha Computer zao kuchemsha na kwa kuzidiwa na wingi wa watu .

Leo sitaki kuweka porojo wakati ushahidi umejaa tele , Jionee mwenyewe

View attachment 2841757View attachment 2841758View attachment 2841759View attachment 2841760View attachment 2841761View attachment 2841763View attachment 2841764View attachment 2841765View attachment 2841766View attachment 2841767
hii digital ya karatasi ya Chadema ni kiboko dah!!!

Kwahiyo ni karatasi zilijaa au ni kalamu ziligoma kuandika kidigitali?
Maana sio kwa mcharazo huo wa sugu ...

au vishikwambi vilikua vinapoozwa mahali
 
Mfumo wako wa elimu ,ulioletwa na serikali ya CCM ndio unatuzalishia mazuzu kama wewe, Rwanda imeenda kutafuta English teachers Zimbabwe wakati kuna English speaking country mlangoni mwao!!,royal families zimefanikiwa mno kutuzalilishia mazuzu wanaosubiri kupangwa
wewe sugu mjinga sana Nani alikuambia usisome unajidhalilisha Mbeya wanajuta kukufahamu unawaaibisha Sana
 
huyo mvuta bangi hn akiili hafu chadema viongozi wake wote ni form four failure yaani vilaza watupu
Hao wenye PhD wamefanya nini cha maana zaidi ya uchawa na kulamba miguu ya mabosi wao wapate kula?

Grow up dada umri unakwenda na bado huna boyfriend wa permanent.
Angalia wenzio uliocheza nao chekechea..))
 
wewe sugu mjinga sana Nani alikuambia usisome unajidhalilisha Mbeya wanajuta kukufahamu unawaaibisha Sana
Okay sasa umejipa usemaji wa wakazi wa mbeya upumbavu huu,zao la shule za kanumba, huyo aliyezianzisha hata kitukuu chake hakijasoma huko, subiria kupangwa na kulalama humu
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)

Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba walizidiwa na umati kiasi cha Computer zao kuchemsha na kwa kuzidiwa na wingi wa watu.

Leo sitaki kuweka porojo wakati ushahidi umejaa tele , Jionee mwenyewe

View attachment 2841757View attachment 2841758View attachment 2841759View attachment 2841760View attachment 2841761View attachment 2841763View attachment 2841764View attachment 2841765View attachment 2841766View attachment 2841767
Digital ya kalamu na karatasi?
 
Back
Top Bottom