SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mie nilishasema, ...ipo siku itabidi tu tujitokeze hadharani, kwasababu ambazo haziwezi kuzuilika.kawaida yake kuongeza mbwembwe kwenye habari zake
... mfano Kupokea tuzo makao makuu JF and so forth -
... so far nimeona picha ya Mzee wetu Mohamed, Kaka Mwanahabari nguli Pascal Mayalla...na wengine wawiwli watatu, wakipokea tuzo zao hadharani(kuna picha)zaidi ya hapo hawa wengine kina Mshana, Umughaka Heriel, Mwashambwa, na hawa wa madawa ya Kumeza kupuliza na Kupaka Kina Mycine Cytes Mycime wanambwembwe etc-wakati huo ukifika, itakuwa kama tumeona mazimwi.😇😆😆😆🤭