Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

, Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba walizidiwa na umati kiasi cha Computer zao kuchemsha na kwa kuzidiwa na wingi wa watu .

😐😐, Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba walizidiwa na umati kiasi cha Computer zao kuchemsha na kwa kuzidiwa na wingi wa watu.
 
Hii siyo kazi haba.
Huu ndio msingi imara ukitumiwa vizuri na chama

Iwe kazi endelevu, itazaa matunda bora.

Lakini sijaona kompyuta hapo, sasa sijui Erythro naye kaingiwa na wadudu gani kichwani siku hizi!

Nadhani anasahau kwamba wengine siye siyo watani wake; lakini anaamua tu kuturundika kwenye kapu moja!
 
Baada ya computer kuchemsha zikarejeshwa stoo
 
Hahaha mbona unaonyesha karatasi na kalamu, au hapo ni baada ya computer kugoma?
Huyu mpuuzi anachofanya ni kupaka mafuta habari zake, yn hapo tukimwambia aonyeshe hizo computer zilizochemka hana uwezo wa kuzionyesha mana hazipo.
Tangu lini computer zikachemka Kisa kuandikisha watu wasiozidi 1000
 
Computer zachemka!!!! Kila kitu nyie ni deal tu!!!

Mwenyekiti anajenga magorofa kwa Ruzuku lakini kwenye vifaa vya kazinanunua computer za mitumba!!

Ila wachaga aisee
Hakuna cha computer za mtumba wala nn, ht wangetumia simu haiwezi kuchemka kisa kusajili watu 1000+ huyo mpuuzi ni kawaida yake kuongeza mbwembwe kwenye habari zake mana ndipo chakula chake anapopata

Bilionea😅😌

Photo Ops
Bilionea anashindwa kununua computer zenye viwango mpaka zinazidiwa nguvu na data za watu 1000 😂

Kimenuka !
Lazima kinuke mkuu, ww unadhani kuandikisha watu kwa kalamu na karatasi ni kazi ndogo 😂

Baada ya computer kuchemsha zikarejeshwa stoo
Eh bc kazi ipo 😂 mliandikisha watu wangapi mpaka kusababisha computer kufa.?
 
Baada ya computer kuchemsha zikarejeshwa stoo
Itabidi waliogundua computer wapelekwe jela mana chadema wamewaumbua kwa ugunduzi wao wa kifaa kisichoweza kuhifadhi taarifa za watu zaidi ya 1000 bila kuchemka

Hakika chadema ni mpango wa mungu
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)

Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba walizidiwa na umati kiasi cha Computer zao kuchemsha na kwa kuzidiwa na wingi wa watu .

Leo sitaki kuweka porojo wakati ushahidi umejaa tele , Jionee mwenyewe

View attachment 2841757View attachment 2841758View attachment 2841759View attachment 2841760View attachment 2841761View attachment 2841763View attachment 2841764View attachment 2841765View attachment 2841766View attachment 2841767
Unagawa kadi bila Katiba na ilani
 
Hakuna cha computer za mtumba wala nn, ht wangetumia simu haiwezi kuchemka kisa kusajili watu 1000+ huyo mpuuzi ni kawaida yake kuongeza mbwembwe kwenye habari zake mana ndipo chakula chake anapopata

Bilionea anashindwa kununua computer zenye viwango mpaka zinazidiwa nguvu na data za watu 1000 😂

Lazima kinuke mkuu, ww unadhani kuandikisha watu kwa kalamu na karatasi ni kazi ndogo 😂

Eh bc kazi ipo 😂 mliandikisha watu wangapi mpaka kusababisha computer kufa.?
Chama hakina pesa..
 
Back
Top Bottom