Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Makamanda Mbeya wamechafukwa:

Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Tusimame kuilinda nchi.

Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

 
Uhuru wa nchi hii utaaanzia mbeya na mwanza.....hawa watu DAR kazi Yao kubwa ni uchawa Tu na mdomo mwingi
Yaani chawa wa CCM anamiliki jumba lenye thamani ya shilingi bilioni tatu wakati Askari anayewagonga marungu CHADEMA bila mpangilio anaishi kwenye nyumba yenye chumba ambacho kitanda cha 6X6 hakitoshi kukaa!!
 
Makamanda Mbeya wamechafukwa:

Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa awafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.


View: https://m.youtube.com/watch?v=NehRysTibdM

Tusimame kuilinda nchi.

Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

Inaanzaga Mdogo Mdogo, kufumba na kufumbua
 
Wakina jinga jinga Lao. Watakwambia mfude kajiteka
Jingalao ni masalia ya walinda legacy ya Magufuli.

Utekaji na magenge ya utekaji yaliundwa na yule mwehu wanayemuabudu alipokufa ni kama mwaka 1 tu ndio yalipumzishwa ila sasa Samia ameyarudisha kazini hivyo huyu jingalao[kubwa jinga ] anafurahia maana posho za oparesheni za utekaji wanazipata ila wataishi hivi hadi lini?
 
Back
Top Bottom