Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

Habarini wana JF.
Wanachadema mkoani Mbeya wamejitokeza kwa wingi kwenda kra RCO . Pia wamepanga kesho J3 waende kwa mkuu wa mkoa wapeleke list ya maafande waliomkamata Mdude.
Mwitikio huo kwa wanachadema wa Mbeya unaweza kuchukuliwa kama alert kua vijana hao hawana uwoga tena kukabiliana na upotevu huu wa mara kwa mara wa viongozi wa chama hiko.
 
Makamanda Mbeya wamechafukwa:

Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.

Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Tusimame kuilinda nchi.

Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

View attachment 3323799
Hawa ndio wanatarajia kuleta mapinduzi nchi hii? Hawa ambao wanaandamana na wananchi wengine wanawaangalia kwa mshangao!? Ahahahahaha!!!
 
Hawa ndio wanatarajia kuleta mapinduzi nchi hii? Hawa ambao wanaandamana na wananchi wengine wanawaangalia kwa mshangao!? Ahahahahaha!!!

Kwani wewe hutaki mabadiliko? Au hata wamekwambia wanataka mapinduzi? Ujinga dawa yake, shule!
 
Back
Top Bottom