Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

Hii nchi ipo siku itafika watawala wanapotaka ifike.
Mbona ilishafika. Njoo hapa Target upate kitimoto na bia wewe Mwalimu na Rais ameshaongeza mshahara kwa 35.01%. Acha kulalamika kama zuzu!!
 
Natamani ningekuwa mbeya city ningekiwasha..
hapo ndo nyumbani tulipozaliwa wanaharakati
wa ukweli!
hatupendagi ujinga.
KAMA NYEUSI TUTAKWAMBIA NYEUSI TU.
 
Hao ndio wanaume wenye kende sio wa DAR wengi wapaka poda na kulamba lip.
Sitaki povu hapa.
 
Nikija mimi wewe hutapona mkuu waache waje Polisi tu. Mimi sicheki na nyani.🤣🤣
Njoo na maafande wenzio vilaza wale division IV mkimaliza mkalale kwenye yale mabati yenu kukuu.

Na nani kakwambia hapa mimi nacheka na wauaji?

F around and find out..
 
Njoo na maafande wenzio vilaza wale division IV mkimaliza mkalale kwenye yale mabati yenu kukuu.

Na nani kakwambia hapa mimi nacheka na wauaji?

F around and find out..
Wewe ni warrior wa mitandaoni. Njoo hapa Target tupate Kitimoto na bia usije ukafa na stress.
 
Hao wanaoteka na kumwaga damu hawajawahi fiwa na wapendwa wao?Hawana hofu hata Mungu?,Hajui nao watakufa?!!Inasikitisha sana!
 
Sijamuonaaa mtu frani hivi kwenye maandamo hapo! Anyway tujitahid kutumia maombi zaidi
 
Kifo ndiyo kiwe spark ya kudai HAKI zetu.
 
Haiwezekani tukawa watu reasonable, tukaendesha mambo yetu bila kumwagana damu?
 
Back
Top Bottom