- Thread starter
- #61
Watu vichaa.😁😁...Hakika chadema ina watu
Kama yule RC wa DAR yaani mwonekano wake tu unagundua humu hamna kituWatu vichaa.😁😁
Samahani, nilikuwa namjibu mtu mwingine. Naona umekurupuka😁😁Kama yule RC wa DAR yaani mwonekano wake tu unagundua humu hamna kitu
Hata mimba ilianza na maniiMakamanda Mbeya wamechafukwa:
Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Tusimame kuilinda nchi.
Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi
View attachment 3323799
Watu wa dar wapumbavu tuu hao wanacho jua ni kucheza uchi na kutikisiana matako ,hakuna watu huko dar..Uhuru wa nchi hii utaaanzia mbeya na mwanza.....hawa watu DAR kazi Yao kubwa ni uchawa Tu na mdomo mwingi
'principle' ile ile ya "Tone, Tone", unanielewa?Tena bila uoga wowote! Hakika chadema ina watu
Angekuwa Muliro angewateka woteNi
'principle' ile ile ya "Tone, Tone", unanielewa?
Kwani huko kuna nani, mkuu Erythro; maswali yangu machache yaanzie hapo.Angekuwa Muliro angewateka wote
Makamanda Mbeya wamechafukwa:
Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Tusimame kuilinda nchi.
Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi
View attachment 3323799
Lisiwe swala la "polisi hawana huruma",..., ni kama unawahimiza mkuu 'gallow bird'.Baadae tusiambiwe watu wameumizwa, polisi hawana huruma
Kubeza dhana hii ni sawa na kuficha kichwa ndani ya mchanga kwa kudhani kiwiliwili chote hakiwezi kuonekana.Kutokana na kushamirii kwa Udhalimu mbaya kabisa wa uvunjifu wa HAKI za binadamu (Grave Human Rights Violations), endapo kwa bahati mbaya yataibuka Makundi kama vile ya Boko Haram au Al Shabaab, basi naamini kwa dhati kabisa kwamba yatapata Uungwaji mkono mkubwa sana katika nchi hii.
Mungu aepushie mbali mabalaa haya yanayolikumba Taifa hili kwa Sasa.
Jeshi la Polisi na TISS wanawachezesha Kamali ya Kifo Wananchi wa Nchi hii. Tuwakatae ili tuepukane na Mabalaa!
Huwezi andamana ghafla tu kwenda kituo cha polisi,huo ni uvamiziLisiwe swala la "polisi hawana huruma",..., ni kama unawahimiza mkuu 'gallow bird'.
Polisi hawafanyi kazi ya huruma; polisi wanafanya kazi kwa sheria zinazowalinda wananchi na kuwaruhusu wao polisi kufanya kazi yao.
Sijui kwa nini leo nahangaika sana na wewe hivi, maanake sikumbuki hata siku moja kusoma michango yako humu.
Hata hivyo, ninayo matumaini makubwa juu yako mkuu 'gallow bird', kwamba hatimae sisi sote (wewe na mimi) tutakuwa pamoja kuilinda nchi yetu Tanzania tunayo ipenda sana juu ya jambo lingine lolote.
Na wao wanaishi uraini na familia zaoBaadae tusiambiwe watu wameumizwa, polisi hawana huruma
Mbeya wana msimamo sana, wazee wa huko walishakuwa tayari kujitenga baada ya Mwakyembe na Mwandosya kutendewa isivyo kipindi cha JKUhuru wa nchi hii utaaanzia mbeya na mwanza.....hawa watu DAR kazi Yao kubwa ni uchawa Tu na mdomo mwingi
Nilitaka kuuliza swali hili kwa rafiki yangu 'Erythro', lakini nikaogopa nisiharibu siku yake nzuri, kama tulivyoona alama nzuri ya hapo Mbeya. Hii ni zawadi nzuri ya kuanzia.Sijamuonaaa mtu frani hivi kwenye maandamo hapo! Anyway tujitahid kutumia maombi zaidi
Mimi natamani RPC awaruhusu. Wakifika awaulize mnadhani mdude yumo humu ndani?Baadae tusiambiwe watu wameumizwa, polisi hawana huruma
Bado sijakuelewa una maana ipi. Kwani kupotea kwa Mdude ilikuwa ni ghafla; au unatafuta sababu ya hao watu sasa washambuliwe na polisi? Mbona hatujaona kuwepo kwa vurugu yoyote? Polisi sheria inawaambia ukiona tu watu wanakuja kwako, washambulie?Huwezi andamana ghafla tu kwenda kituo cha polisi,huo ni uvamizi