Yaani chawa wa CCM anamiliki jumba lenye thamani ya shilingi bilioni tatu wakati Askari anayewagonga marungu CHADEMA bila mpangilio anaishi kwenye nyumba yenye chumba ambacho kitanda cha 6X6 hakitoshi kukaa!!Uhuru wa nchi hii utaaanzia mbeya na mwanza.....hawa watu DAR kazi Yao kubwa ni uchawa Tu na mdomo mwingi
Watu wa Tz tungekuwa kama watu wa mbeya katika kupigania haki tungekuwa mbali.Tena bila uoga wowote! Hakika chadema ina watu
Polisi kutokuwa na huruma ni tabia waliyopandikiziwa na CCM. CCM ni kundi la watu wenye roho mbaya Sana!Baadae tusiambiwe watu wameumizwa, polisi hawana huruma
NakaziaTusimame kuilinda nchi.
Inaanzaga Mdogo Mdogo, kufumba na kufumbuaMakamanda Mbeya wamechafukwa:
Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa awafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=NehRysTibdM
Tusimame kuilinda nchi.
Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi
Na polisi wengine wanaishi kwenye chupa ya chai pale oysterbay na kilwa roadYaani chawa wa CCM anamiliki jumba lenye thamani ya shilingi bilioni tatu wakati Askari anayewagonga marungu CHADEMA bila mpangilio anaishi kwenye nyumba yenye chumba ambacho kitanda cha 6X6 hakitoshi kukaa!!
Halafu ajabu yake wanaowatetea ndiyo wanaowadunda!Na polisi wengine wanaishi kwenye chupa ya chai pale oysterbay na kilwa road
Hao polisi pia ni watoto wetu, wadogo zetu n.kBaadae tusiambiwe watu wameumizwa, polisi hawana huruma
Jingalao ni masalia ya walinda legacy ya Magufuli.Wakina jinga jinga Lao. Watakwambia mfude kajiteka
Tena bila uoga wowote! Hakika chadema ina watu