Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

Kumbe Mbeya Chadema haina wanachama kiasi hiki!!? Huwa tunaaminishwa kuwa Mbeya ni ngome ya Chadema kumbe uongo. Maandamano ya watu 30!! 🤣🤣🤣 halafu mnasema mtazuia uchaguzi.
 
Umeandika hoja ya msingi sana. Tunayoyashuhudia leo ni matokeo ya yule shetani. Aliunda TISS Yake nje ya mfumo
 
Kumbe Mbeya Chadema haina wanachama kiasi hiki!!? Huwa tunaaminishwa kuwa Mbeya ni ngome ya Chadema kumbe uongo. Maandamano ya watu 30!! 🤣🤣🤣 halafu mnasema mtazuia uchaguzi.
Kumbe polisi wanaogopa chama kisicho na wanachama! Basi polisi wa ccm ni wajinga!
 
Mbona wewe hawajakuteka?
 
Kumbe Mbeya Chadema haina wanachama kiasi hiki!!? Huwa tunaaminishwa kuwa Mbeya ni ngome ya Chadema kumbe uongo. Maandamano ya watu 30!! 🤣🤣🤣 halafu mnasema mtazuia uchaguzi.
Uhai wa mtu una thamani kuliko hata hivyo vyeo vya Upolisi na Ukuu wa Mkoa. Punguzen Upumbavu na ujinga linapokuja suala la uhai na uzima wa mtu
 
Ni jambo jema
 
Kama Yesu alikufa utakuwa wewe!
 
Hakuna aliyeko salama kwa hali inavyokwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…