Kuna wanaume wa Dar kula na kuoga mara Tatu...Uhuru wa nchi hii utaaanzia mbeya na mwanza.....hawa watu DAR kazi Yao kubwa ni uchawa Tu na mdomo mwingi
😀😀Hao ndio wanaume wenye kende sio wa DAR wengi wapaka poda na kulamba lip.
Sitaki povu hapa.
Utaitaje wapumbavu wakati huwalishi ?Watu wa dar wapumbavu tuu hao wanacho jua ni kucheza uchi na kutikisiana matako ,hakuna watu huko dar..
Hawa ndio wanatarajia kuleta mapinduzi nchi hii? Hawa ambao wanaandamana na wananchi wengine wanawaangalia kwa mshangao!? Ahahahahaha!!!Makamanda Mbeya wamechafukwa:
Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Tusimame kuilinda nchi.
Pia soma: Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi
View attachment 3323799
Hawa ndio wanatarajia kuleta mapinduzi nchi hii? Hawa ambao wanaandamana na wananchi wengine wanawaangalia kwa mshangao!? Ahahahahaha!!!