Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Chama is Back, Triple C is Back.

Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.

Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea katika ligi kuu ambapo saa 10:00 jioni, atakuwa ugenini jijini Mbeya kumenyana na
Mbeya City.

Je, Mbeya City atamsimamisha mnyama ama mnyama kuchukua alama zote tatu?

Shughuli nzima itakuwa LIVE hapa JF.

19' ⚽ Paul Nonga anafunga goli pekee la mchezo na kuipa Mbeya city ushindi

VIDEO: Goli pekee la ushindi wa Mbeya City

1642431764718.png

Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
utimize ahadi yako
 
Kitambulisho chako,picha yakoo na familia yakoo wana simba kwan wamekwambia wanaviitajii ???
 
Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
Kuna mwenzio alisema Simba akimfunga azam fainali kombe la mapinduzi,,atatembea uchi na atakunya mavi ya week nzima hadharani.

Matokeo yake kapotea humu na mavi aliyokunya hatuoni.

Msichezee watu na ramli chonganishi.
 
Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
Usipofanya hivyo nitawaambia Jf wakufute uanachama!!
 
Back
Top Bottom