Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Hii coincidence sjaielewa,kwann wafungwe kwa lazima namna hii,kwanza walikuwa na fair advantages nyingi😛enalty,timu pinzani kucheza pungufu.

Hii coincidence ina bila shaka imebeba taarifa fulani kwa wekundu wa msimbazi.
 
Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo


Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa

Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
Na Morrison mara hii tayari mmeshamchoka?. Mbwembwe zote zile,hata hajawatumikia
 
Uzi ufungwe sasa tuna toneshana makovu
[emoji3][emoji3][emoji3]
20220114_014717.jpg
 
Back
Top Bottom