Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Huyu Bill ni best yangu sana hadi nimejikuta namuonea huruma. 😅😅😅

Leo uzi umekuwa mchungu kwake. 😀
Kama ni kututenda Pablo, Babra, Mugalu na akina Bocco wanajua.

Kwa vile hakuna watu waaminifu kama mashabiki wa mpira. Hakuna namna tunakomaa.
 
Djeyiiiiiiiiiiiiiiii walete
mwaka jana mnajifariji mbona tulipoteza mechi 2 na ubigwa tulichukua mnajiuliza mpinzan wenu mwaka jana alikuwaje????

Sasa endeleeni kujifarijiiiiiiiii ila mtakuja shituka kumekucha.
 
Nawewe endelea kujifariji kwa msimu uliopita kutegemea yatatokea tena ukija kushtuka watu wananyanyua makwapa
 
Jambo ambalo Yanga wamewazidi Simba Ni kwamba Yanga wanafanya maamuzi magumu hata ya kuvunja kikosi lakini Simba wanaogopa wachezaji. Wewe unamngangania bocco, mugalu na kagere wakati hawafungi. Niwe mkweli huwezi kushinda ligi wakati washambuliaji wako hawafungi magoli. Huu mwaka Simba wakubali ni mwaka wa Yanga. Yanga walifanya maamuzi magumu na kuvunja kikosi na kulete kikosi Cha ushindi na malipo yake yanaonekana. Simba iendelee kuwaabudu akina bocco tuone mwisho wake.
watani zetu aka makolo fc wamezingua wenyewe, dirisha dogo wameshindwa kabisaa kusajili striker, sisi tuna mayele, makambo etc lkn tumemuongeza yule wa mbeya kwanza na yule wa TP Mazembe!!wao wametulia wanamrudisha mtu aliefeli masomo moroco
 
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

makolo muli bwanji
Tulibwino Wananchi
 
Wachezaji wengi walioanza Jana hawakuwa na Mechi Fitness kutokea Mapinduzi. Sijui ni nini Mugalu alianza kabla ya Kagere, Sijui ni Nini Mzamiru alianza, Sijui ni Nini Morrison Alianza huku Sakho Akiwa Bench, Sakho hata alipo ingia Impact Yake Ilionekana. Kitendo cha Kumuanzisha Benchi Sakho ni Kumrudisha Nyuma kutoka kwenye kila alicho kianza.

Pablo Aonyweee mapema, Kufungwa Kwa Jana Kumechagizwa sana Na yeye katika Kupanga Kikosi
 
Pablo ni kocha wa Madrid mtamuonyaje wakati nyie hapo hakuna aliyewahi kufika hata Wigan?! [emoji2]
 
Kwani mechi ilikua ya Simba na Utopolo? Mbona kama mmejifunga vibwebwe mnademka??? Wanaume mapovu yanawatoka kuliko Mbeya city wenyewe. Kweli nyie vyura hamuishi kelele
 
Kwani mechi ilikua ya Simba na Utopolo? Mbona kama mmejifunga vibwebwe mnademka??? Wanaume mapovu yanawatoka kuliko Mbeya city wenyewe. Kweli nyie vyura hamuishi kelele
Mwambieni Mo amlipe mwamuzi maana kazi kafanya Kama kawa Ila Basi tu sikio la kufa
Red card katoa waapi
Penality kawapa as waaapi
Extra time dk 15 katoa Ila Badoo
Sasa hapo Lisa lake Ni lipi, mlitaka aingie mwenyewe acheze siyo? Mpeni chakee la sivyo mtakuuuuta kumjua .
 
Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo

Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa

Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
Duh! Hii sasa si timu nzima! [emoji848]
 
Kwani mechi ilikua ya Simba na Utopolo? Mbona kama mmejifunga vibwebwe mnademka??? Wanaume mapovu yanawatoka kuliko Mbeya city wenyewe. Kweli nyie vyura hamuishi kelele
Vipi hasira zimeshuka kidogo. Inakuwaje hutaki sisi mashabiki wa Mbeya City tushangilie baada ya timu yetu kushinda!

Tuache bhana wenzako tufurahie. Siyo jambo jepesi kuifunga timu inayoshika nafasi ya 6 kwa ngazi ya vilabu Barani Afrika. Timu inanolewa na kocha kitoka Real Madrid! Timu imejaa Maprofesa wa mpira!!
 
Back
Top Bottom