Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Simba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.
Huu uzi ulitakiwa ufungwe nilipoleta hii comment. Nilikuwa na full information kuwa Simba hawezi shinda iwe mvua iwe jua. Sema mkaleta utani sana. Kikosi kilitumwa kwenye group la Simba nikakiangalia na nikakiangalia cha Mbeya City, kisha nikarudi makazi yangu pale Mbalizi kuulizia wazee wanasemaje kuhusu kuinusuru hii timu na vipigo vya Simba, NIKAJIBIWA KUWA MECHI IMEISHA NA SIMBA HASHINDI.
 
Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo


Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa

Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
 
[emoji1787]
IMG-20220118-WA0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...Mbeya City Wajanja Sana....Wameona Bora bao Lao la Kufutia Machozi Waliweke Kibindoni Kbs....! Kwa kuwa hakuna namna ya Wao kuendelea Ku contain pressure Ya Mnyama mpaka Mwisho.
Unaota wewe mdada
 
Kwangu mimi hii Ni mechi bora kabisa tokea uanze msimu huu wa ligi hii ya Nbc...
au Nasema uongo ndugu zangu?
 
Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo


Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa

Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
sasa apo si utakua umeondoa timu nzima mkuu?
 
Back
Top Bottom