Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

😄😄😄
0qJ27.jpg
 
Koma kumwanya aliskika paul nonga akimwambia mwakinyuke inonga na onyango hawakuelewa kitu
 
Ni juzi tu watoto wa Fransis Mbeya wametoka kuibamiza Necta Tanzania nzima.

Leo tena baba zao wa Mbeya City wametoka kumbamiza Simba.

Yaani simba wetu amebamizwa kama mtoto mdogo.

Sisi wadar tuna nini lakini
Shida yako ni Simba tu, peleka jukwaa la michezo
 
Nyanda za juuu kusini Zina mengi, makanisa mengi, washirikina wengi....
 
Back
Top Bottom