Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Jambo ambalo Yanga wamewazidi Simba Ni kwamba Yanga wanafanya maamuzi magumu hata ya kuvunja kikosi lakini Simba wanaogopa wachezaji. Wewe unamngangania bocco, mugalu na kagere wakati hawafungi. Niwe mkweli huwezi kushinda ligi wakati washambuliaji wako hawafungi magoli. Huu mwaka Simba wakubali ni mwaka wa Yanga. Yanga walifanya maamuzi magumu na kuvunja kikosi na kulete kikosi Cha ushindi na malipo yake yanaonekana. Simba iendelee kuwaabudu akina bocco tuone mwisho wake.
 
WANASIMBA TUKIRI TU KUWA MWAKA HUU SIO WA KWETU..... HATUNA KIKOSI CHA USHINDANI.....WACHEZAJI HAWAJITUMI.......

YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO...... LAKINI MSIMU HUU SI WA KWETU TUJIANDAE KISAIKOLOJIA.........

ALAMSIKI....
Matches bado nying sana....league bado sanaaaa
 
Back
Top Bottom