Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Plus Wakili Msomi Bernard Morrison! [emoji51][emoji51] Washambuliaji makatili John Boco, Chris Mugalu na Meddie Kagere!! [emoji16][emoji16][emoji16]Viungo wakali akina Nungunungu [emoji51][emoji51][emoji51], Kanoute, Mzamiru [emoji16][emoji16]

Kuna timu ya kuwazuia kuchukua point zote 3 muhimu kweli?
Uyu kocha wetu sio.dirisha dogo linafungwa kashindwa kabisa kupendekeza stricker wa maana pale mbele.
 
hapo ndio napomshangaa kocha na technical bench. maana toka pre season ilionekana striker ni tatizo. waliwezaje kuachana dirisha dogo likapita bila kusajili striker.
Nafahamu ili mpoteze ubingwa huwa kuna ujinga lazima ufanyike
Mkuu unakosea sana. Chambua mpira kitaalam sio kishabiki. Tatizo la simba sio kuwa na striker mpya. Hata ukileta striker mwingine tatizo litabaki palepale kama hakuna mfumo unaoeleweka kwa kuwalisha mastriker mipira ili wafunge. Simba tatizo benchi la ufundi. Huyo Mugalu leo amepenyezewa mipira mingapi kutoka kwa viungo ili afunge?
Narudia tena tatizo la simba ni benchi la ufundi: Nina mashaka sana na uwezo wa PABLO katika jinsi ya kuwatumia kiufundi wachezaji alionao. Angalia hata sub zake ni za hovyo achilia mbali game plan zake ambazo nyingi sio za kushambulia kutafuta matokeo mapema bali zaidi ni kujilinda.
 
YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO....! Imeisha hiyo, Mbio za Ubingwa Zipo Pale pale....! Aluta Continua!!
 
Aisee muda huu GENTAMYCINE atakua anaandika gazeti huku machozi yakimtiririka kwa hasira.
Hujakosea Mkuu nafikiria kuja na hilo 'Andiko Gazeti' langu juu ya Udundula ( Ujinga ) uliotokea Leo Sokoine Stadium ila nasubiria Kwanza Hasira zangu zipungue ila nikimfikiria to Kocha Pablo, Mshambuliaji Mugalu na Nahodha Boko zinaibuka tena.
 
Mkuu unakosea sana. Chambua mpira kitaalam sio kishabiki. Tatizo la simba sio kuwa na striker mpya. Hata ukileta striker mwingine tatizo litabaki palepale kama hakuna mfumo unaoeleweka kwa kuwalisha mastriker mipira ili wafunge. Simba tatizo benchi la ufundi. Huyo Mugalu leo amepenyezewa mipira mingapi kutoka kwa viungo ili afunge?
Narudia tena tatizo la simba ni benchi la ufundi: Nina mashaka sana na uwezo wa PABLO katika jinsi ya kuwatumia kiufundi wachezaji alionao. Angalia hata sub zake ni za hovyo achilia mbali game plan zake ambazo nyingi sio za kushambulia kutafuta matokeo mapema bali zaidi ni kujilinda.
Mkuu hakuna haja ya kuandika gazeti reeefu. Simba haina striker. mpira unachezwa sehemu ya wazi. Mimi kweli sio mchambuzi wa soka. Ila nimeandika nachokiona.
 
Bocco Astaafu kwa Heshima, ni kweli Mugalu kakosa Penalt lakini Bocco kashindwa nn kumalizia tuu Pale.

Ila Bado nina Imani Simba Atakuwa Bingwa. Sasa Tunahitaji Yanga Apate Draw 2 au 1 na Kufungwa Mechi Moja

Tuna Imani na Polisi Tanzania. Ngoja Tuone
Huku sisi tukimuombea Simba apingwe mechi zingine 2 na droo 3, haya tufanye Mungu kapokea maombi yetu sote, nani bingwa hapo?![emoji3][emoji3]
 
Hujakosea Mkuu nafikiria kuja na hilo 'Andiko Gazeti' langu juu ya Udundula ( Ujinga ) uliotokea Leo Sokoine Stadium ila nasubiria Kwanza Hasira zangu zipungue ila nikimfikiria to Kocha Pablo, Mshambuliaji Mugalu na Nahodha Boko ziinaibuka tena.
Kocha anayedhani ili timu ishinde inatakiwa kuwa na Washambuliaji wengi kadri iwezekanavyo?
 
Back
Top Bottom