mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
pelekeni malalamiko yenu tff, msitulilie hapaaa!!makolo ulibwanji nyieeeWachezaji wengi walioanza Jana hawakuwa na Mechi Fitness kutokea Mapinduzi. Sijui ni nini Mugalu alianza kabla ya Kagere, Sijui ni Nini Mzamiru alianza, Sijui ni Nini Morrison Alianza huku Sakho Akiwa Bench, Sakho hata alipo ingia Impact Yake Ilionekana. Kitendo cha Kumuanzisha Benchi Sakho ni Kumrudisha Nyuma kutoka kwenye kila alicho kianza.
Pablo Aonyweee mapema, Kufungwa Kwa Jana Kumechagizwa sana Na yeye katika Kupanga Kikosi