Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Zungumzia ile penati tuliyobaniwa
 
Walioumia mechi ya leo si Wamwanjelwa pekee, bali hata wale w Wajangwani wenye asili ya Mbeya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mda wa red card, penalty na Dakika 10 nyongeza bado.
M-Pesa mtandao unasumbua.
 
Yani unaeleta hii mifano unaonekana mpira ufuatilii vizr, EPL ndo ligi inayo angaliwa na watu wengi lakini kombe la dunia hakuna refa hata mmoja aliyechaguliwa kwenda kuchezesha.
 
Mwenye video ya mahojiano ya kocha wa mbeya city baada ya mechi kuisha tafadhari ebu tuwekee hapa! Nasubiria wakuu
 
Ila Simba waache mambo yso ya kikosi kipana.. Tuwe serious kidogo Mbeya Vity wakipanue leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…