Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Waamuzi wa kiume walio wengi kwakweli uwezo wao wa kuchezesha mpira hasa wakati huu tunapoelekea mwisho wa msimu unakatisha kabisa tamaa! Leo kwenye hii mechi, mwamuzi kwa makusudi kabisa ametoa faulo mbili zenye utata na zilizoipa simba ushindi wa bure!

Mnawakatisha tamaa wachezaji na timu kwa ujumla! Haiwezekani Okwi amfuate beki mwenyewe halafu anajiangusha na mwamuzi anatoa faulo yenye utata! Kwa haya maamuzi yenu yenye utata, nina imani mtaishia kuchezesha mechi za simba tu!
Zungumzia ile penati tuliyobaniwa
 
Walioumia mechi ya leo si Wamwanjelwa pekee, bali hata wale w Wajangwani wenye asili ya Mbeya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mda wa red card, penalty na Dakika 10 nyongeza bado.
M-Pesa mtandao unasumbua.
 
Wasipopata penalty wataongezewa dk 7,9 mpaka 10
Nazan hao nao watakuwa simba wa jangwan
FB_IMG_1556644627416.jpg
 
AFCON 2019 Full list of referees:
Mostafa Gharbal (Algeria), Helder Martinez (Angola), Joshua Bondo (Botswana), Pacifique Ndabihawenimana (Botswana), Aliom Aliom (Cameroon), Gehad Geresha, Mahmoud El-Banna, Amine Omar (Egypt), Bacary Gassama (Gambia), Daniel Laria (Ghana), Peter Waweru (Kenya), Mamadou Keita (Mali), Radwan Jaid, Nour ElDin El-Jaafari (Morocco), Jackson Bafaza (Namibia), Jean Jack Ngambo (DR Congo), Louis Hazikimana (Botswana), Megete N’Diaye (Senegal), Bernard Camille (Seychelles), Al-Fadel Mohamed Hussein (Sudan), Victor Miguel (South Africa), Sadek Al-Salmy, Youssef El-Sarairi, Haitham Kairat (Tunisia), Gianni Sikazowi (Zambia).
UPUUZI KWA WATU WAPUUZI
Yani unaeleta hii mifano unaonekana mpira ufuatilii vizr, EPL ndo ligi inayo angaliwa na watu wengi lakini kombe la dunia hakuna refa hata mmoja aliyechaguliwa kwenda kuchezesha.
 
Mwenye video ya mahojiano ya kocha wa mbeya city baada ya mechi kuisha tafadhari ebu tuwekee hapa! Nasubiria wakuu
 
Ila Simba waache mambo yso ya kikosi kipana.. Tuwe serious kidogo Mbeya Vity wakipanue leo..
 
Back
Top Bottom