Mbeya: Deogratius Ndejembi hamuwezi Mkandarasi CHICO. Hata Magufuli alimshindwa. Injinia Bishanga anaonewa bure

Kwanza na wewe umedanganya hakuna mahala kwenye ripoti za Serikali ambako mkandarasi kaliowpesa zote ,hayo ni Yako hela alizolioqa ni Bilioni 40 tuu kati ya 188 za mradi.
Sawa twende Taratibu tuelewane. Wakati Mkataba unasainiwa walisema gharama ni Bilioni 138.727. Kwanini Ndejembi aliipoenda Wamemuambia Bilioni 188?

Mbeya, 17 Oktoba, 2025

Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi M/s China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO) huku Mhandisi Mshauri akiwa ni TECU kwa gharama ya shilingi Bilioni 138.727 bila kodi ya ongezeko la thamani (VAT) yenye thamani ya Bilioni 24.970.
Shida hapa ni Serikali haitoi pesa Kwa wakati Wala sio swala la mkandarasi au meneja.
Mimi hapa tupo page moja. Wasimuonee Meneja.
 
Itakuwa "CHIKU" ana nywila za mwenye mbwa!

BTW: Mwigulu huwa anaagiza hati za kusafiria za mkandarasi zishikiliwe kama ni mgeni,vipi kwa CHIKU?
 
Jamaa sinema zao zinashangaza Sana Hazina Purpose yoyote ya Kuserve interest ya Umma zaidi ya Kutafuta Sympathy tu na publicity, Hio kuwawajibisha Regional Manager ambae ana watendaji Wakubwa Tu juu yake ni kuangalia weak link Tu ndio wameona watafute sympathy
Wanasiasa wao huwa wanalindana. Wanaokuja kuumizwa ni Wataalam wannaoshinda kwenye mavumbi na matope wakiwa calculation na Dumpy level Mikononi ndo wanaumizwa.
 
Hii style ya Ndejembi naona Ashauriwe tena vizuri
Ndivyo boss wake anataka. Kiki mwanzo mwisho. Ndenjembi alipokuwa ananya kazi Tigo, alikua si mtu wa kukurupuka.

Alitakiwa aagize TANROADS wamfungie CHICO kama walivyofanya kwa China Railway 15 Bureau Group Corporation. Sio kupambana na dagaa
 
Mleta mada amesema tokea 2012 huyo CHICO hata akiharibu hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi yake,

Na bado anapewa tenda na kulipwa 100% ya pesa yake

Ni jambo gumu sana Mkuu, ili mkandarasi alipwe inatakiwa aonyeshe kazi aliyofanya tena malipo yanafanyika kwa measurement, ukiacha advance payment hakuna malipo mengine ambayo anapata na kazi hajafanya
 
Wakuu Salaam,

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi, amemtaka Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, kuhakikisha hatua za uwajibikaji zinachukuliwa dhidi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Suleiman Bishanga, sababu ikiwa ni kuchelewa kwa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga (Uyole) hadi Ifisi jijini Mbeya yenye urefu wa kilomita 29 kwa Bilioni 184. Amelipwa hela zote na akakopeshwa bilioni 20 lakini hayupo site.

Mimi nahisi Ndejembi anaingia kwenye vita ambayo haiwezi matokeo yake anaishia kuumiza Dagaa(Mameneja wa Mikoa) ya Songwe na Mbeya.

Kwanini nasema hana uwezo wa kugusa hii Kampuni?
View attachment 3692885
Kwa utaratibu wa kiongozi bora, Makamu wa Rais anatakiwa amhoji Waziri, Waziri amhoji Mkurugenzi wa TANROADS, Mkurugenzi amhoji Meneja kuhusu barabara kuchelewa.

Hapa chini nitaelezea kwa urefu kwanini huyu Makamu wa Rais Mgeni Ofisini asipokuwa makini atajikuta anaumiza watu wasio husika.

Hii barabara ya njia nne ya Nsalaga (Uyole) hadi Ifisi, Mbeya inajengwa na China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO)

Mkataba wa ujenzi wa hizi kilomita 29 ulisainiwa tarehe 14 Februari 2023 na ilitakiwa kukamilika tarehe 13 Machi 2025. Kumbuka Mkandarasi kashalipwa gharama zote za mradi za eneo hilo, hadai kitu bali Serikali ndo inamdai. Kwanza alitakiwa aje na mtaji wake.

Na kutomaliza kazi kwa wakati hakuna hatua zilichukuliwa.

Hadi kipindi cha Mkataba kuisha 13 Machi 2025, alikuwa kajenga 24% tu ya Mradi wakati alitakiwa kukabidhi Mradi.🤣🤣

Kutokana kusuasua kwa ujenzi wa Barabara hii, TANROADS ilimuondoa aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mbeya na Machi 2026 wakamleta Mkandisi Suleiman Bishangabashaija aliyekuwa akisimamia Mradi ya Barabara Mkoani Songwe iliwemo barabara ya TAZAM (Tanzania Zambia, Malawi) njia sita. Uchapakazi na kufanya kazi kwa kujituma usiku na mchana ndo kulisababisha Bishangabashaija aletwe Mbeya kusimamia hii barabara iishe(Kuokoa jahazi). Leo anaambiwa kala hela za Mkandarasi ndo maana barabara haiishi🤣🤣

Mhandisi Suleiman Bishanga aliweza kumsimamia Mkandarasi kwa miezi sita akajenga 20% ya barabara ambayo hivi sasa ipo 46% ya Ujenzi.

Cha kushangaza tarehe 17 Oktoba 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi akamuagiza Waziri wa Ujenzi Kadogosa amchukulie hatua Meneja wa TANROADS Mhandisi Bishanga ambaye kasimamia huo mradi kwa miezi 7 tu kati ya miezi 39 ya ujenzi wa hii Barabara.

MASWALI KWA MAKAMU WA RAIS DK. NDEJEMBI

1. Kwanini hajamchukulia hatua yoyote Mkandarasi ambaye alitakiwa akabidhi mradi mwezi Machi 2025 hadi leo Oktoba 2026 bado mradi upo 45% tu?

2. Kwaninii Ndejembi hajamchukulia hatua Mkandarasi ambaye kalipwa hela zote na akashindwa kukabidhi mradi? Pia mkandarasi hata alipo ambiwa Makamu anaenda site, wala hakufika eneo la tukio na hajsonesha kuguswa?

3. Kwanini Ndejembi hajamchukulia hatua Mkurugenzi wa TANROADS anayesimamia barabara zote Nchini akakimbilia kwa Meneja wa Mkoa ambaye kituo chake cha Kazi ni Songwe na Mbeya kaletwa kusimamia huu mradi?

4. Kwanini Ndejembi hajahoji sababu za Waziri kufanya Kikao Usiku na Meneja akapewa majukumu ya kumobilise Wakandarasi wawe Site katika maeneo 32 korofi kisa Makamu anakuja asikose sehemu ya kupita. Angekuwa yeye angeweza kuwa kila sehemu?

Na Wakandarasi waliahidi watakuwa Site, Asubuhi kaamkia kumpokea Makamu, kwenye msafara anaulizwa kama mkandarasi yupo Site akajibu ndio. Kwani walisema watakuwa site Mbele ya Waziri. Kumbe hawajaenda. Kwanini Mkandarasi hajagombezwa?

View attachment 3692901
JE MAKAMU WA RAIS DR. DEOGRATIAS NDEJEMBI ANAWEZA KUMFOKEA MKANDARASI CHICO?

Jibu ni hapana.

Hii Kampuni Mawaziri Kibao na Viongozi Mbalimbali akiwemo Hayati Pombe Magufuli, walishashindwa kuiadhibu wala kuichukulia hatua. Hadi Baadhi ya Viongozi wakampiga marufuku CHICO kufanya kazi Tanzania lakini bado inapewa Kandarasi na kulipwa fedha zote kila mradi. Hapa chini nitaweka miradi kadhaa.

Je, nani yupo Nyuma ya hii Kampuni ya Kichina?

TUJIKUMBUSHE MAWAZIRI WALIOWAHI KUKUTANANA MFUPA WA CHICO

1. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 9 Oktoba 2012, wakati alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikagua barabara ya Sekenke–Shelui, mkoani Singida, iliyokuwa imejengwa upya na CHICO.
Alisema Serikali ilikuwa imetumia zaidi ya shilingi bilioni 35, lakini barabara hiyo ilikuwa imejengwa chini ya kiwango kiasi kwamba ng'ombe akkikannyaga lami inabonyea. Hata hivyo alilipwa hela ypte.

2. Abdallah Ulega akiwa Waziri wa Ujenzi Tarehe: 22 Aprili 2025. Alikosoa kasi ya ujenzi wa Nsalaga–Ifisi, Mbeya, na kumpa CHICO siku 30 kuongeza kasi ya kazi. Lakini hadi leo 17 Oktoba 2026 bado ipo 45%

3. Innocent Bashungwa akiwa Waziri wa Ujenzi Tarehe 22 Machi 2024 alikosoa ubora wa barabara ya Kilindoni–Utende, Mafia, iliyojengwa na CHICO, na kuagiza mkandarasi arudie sehemu yenye mapungufu kwa gharama zake. Hakurudia na hajafanywa chochote

4. Seleman Kakoso akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
Tarehe: 12 Machi 2024 aliitaka Wizara ya Ujenzi kuhakikisha CHICO inakamilisha barabara za Noranga–Itigi na Doroto–Noranga kwa wakati kulingana na mkataba lakini hakufanya hivyo.

5. Godfrey Kasekenya akiwa Naibu Waziri wa ujenzi, Tarehe Desemba 2021 lionyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani iliyokuwa ikijengwa na CHICO, na kueleza wasiwasi kuhusu ubora wa baadhi ya barabara nyingine zilizojengwa na kampuni hiyo. Hata hivyo alikuwa kashalipwa hela zote.

Alionya kwamba wakandarasi wa kimataifa wanaofanya vibaya wanaweza kukosa kazi sehemu nyingine ikiwemo CHIKO. Hata hivyo, taarifa hiyo haithibitishi kuwa CHICO iliwekewa marufuku rasmi.

Mjadala upo wazi. Ni kipi kinafanya Viongozi wa CCM waiogope hii Kampuni ya China?
View attachment 3692863View attachment 3692864
Kumbukizi 2012: Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu.
View attachment 3692933
Suleiman Bishanga ni Mhandisi wa barabara na ujenzi (Civil Engineering) ambaye kaajiriwa na TANROADS.

Rekodi ya Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) inaonesha Suleiman Bishanga ni Civil Engineer, mwenye Leseni namba ya usajili 3525.

Kabla ya kupelekwa Mbeya 2026, alikuwa anakaimu kama Meneja wa TANROADS Mkoa wa Songwe mwaka 2024 na Mwaka 2025 akapandishwa kuwa Meneja Mkoa wa Songwe wa TANROADS

Hii ndiyo JamiiForums imejaa taarifa za kutosha msomaji kuelewa tatizo, je watendaji huwa wasahulifu na pia ofisi zao zimepoteza kumbukumbu za kitaasisi (institutional memory) kiasi hawana nyenzo za kuwaelekeza jinsi ya kukabiliana na tatizo ?

Institutional memory is the collective knowledge, past experiences, policy rationale, and cultural understanding that an organization accumulates over time.

Why Institutional Memory Matters in Decision-Making
  • Prevents Repeated Mistakes: Documenting past failures and the reasons behind them stops teams from wasting time and money reinventing failed approaches or re-litigating settled trade-offs.
  • Preserves Rationale and Context: Policy rules state what must be done, but institutional memory preserves why a decision was made, what exceptions were granted, and what assumptions were accepted.
  • Mitigates Leadership Turnover Risk: When leaders or key staff leave, strong institutional memory ensures incoming decision-makers inherit an auditable trail of logic rather than blind outcomes.
  • Builds Operational Resilience: Organizations retain stability and continuity during crises or structural shifts while still allowing room for innovation and change.
  • Blends Explicit and Tacit Knowledge: It bridges formal written records (archives, decision logs, runbooks) with informal human judgment (storytelling, shared governance, mentorship

Kukosa kumbukumbu za kitaasisi ni janga kubwa kwa serikali hii haramu kuanzia ujenzi wa miradi, utaarishaji uchaguzi huru, mauaji ya 29 Oktoba 2025, kuporomoka kwa viwango vya elimu taasisi za juu za elimu, tamaduni, desturi, mila n.k kila kitu shaghalabaga

16 October 2026
WAZIRI KADOGOSA MASANJA - IKWANINI HUKUNIAMBIA TUKIWA KWENYE GARI KUWA KUNA UPUNGUFU WA SIMENTI

View: https://m.youtube.com/watch?v=C8wzTWiFvB0
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa amemuondoa katika nafasi yake Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mkoa wa Songwe, Mhandisi Fredrick Mande kutokana na kushindwa kusimamia ipasavyo mradi wa upanuzi wa Barabara ya Forodha–OSBP Tunduma.
 
Wakuu Salaam,

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi, amemtaka Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, kuhakikisha hatua za uwajibikaji zinachukuliwa dhidi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Suleiman Bishanga, sababu ikiwa ni kuchelewa kwa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga (Uyole) hadi Ifisi jijini Mbeya yenye urefu wa kilomita 29 kwa Bilioni 184. Amelipwa hela zote na akakopeshwa bilioni 20 lakini hayupo site.

Mimi nahisi Ndejembi anaingia kwenye vita ambayo haiwezi matokeo yake anaishia kuumiza Dagaa(Mameneja wa Mikoa) ya Songwe na Mbeya.

Kwanini nasema hana uwezo wa kugusa hii Kampuni?
View attachment 3692885
Kwa utaratibu wa kiongozi bora, Makamu wa Rais anatakiwa amhoji Waziri, Waziri amhoji Mkurugenzi wa TANROADS, Mkurugenzi amhoji Meneja kuhusu barabara kuchelewa.

Hapa chini nitaelezea kwa urefu kwanini huyu Makamu wa Rais Mgeni Ofisini asipokuwa makini atajikuta anaumiza watu wasio husika.

Hii barabara ya njia nne ya Nsalaga (Uyole) hadi Ifisi, Mbeya inajengwa na China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO)

Mkataba wa ujenzi wa hizi kilomita 29 ulisainiwa tarehe 14 Februari 2023 na ilitakiwa kukamilika tarehe 13 Machi 2025. Kumbuka Mkandarasi kashalipwa gharama zote za mradi za eneo hilo, hadai kitu bali Serikali ndo inamdai. Kwanza alitakiwa aje na mtaji wake.

Na kutomaliza kazi kwa wakati hakuna hatua zilichukuliwa.

Hadi kipindi cha Mkataba kuisha 13 Machi 2025, alikuwa kajenga 24% tu ya Mradi wakati alitakiwa kukabidhi Mradi.🤣🤣

Kutokana kusuasua kwa ujenzi wa Barabara hii, TANROADS ilimuondoa aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mbeya na Machi 2026 wakamleta Mkandisi Suleiman Bishangabashaija aliyekuwa akisimamia Mradi ya Barabara Mkoani Songwe iliwemo barabara ya TAZAM (Tanzania Zambia, Malawi) njia sita. Uchapakazi na kufanya kazi kwa kujituma usiku na mchana ndo kulisababisha Bishangabashaija aletwe Mbeya kusimamia hii barabara iishe(Kuokoa jahazi). Leo anaambiwa kala hela za Mkandarasi ndo maana barabara haiishi🤣🤣

Mhandisi Suleiman Bishanga aliweza kumsimamia Mkandarasi kwa miezi sita akajenga 20% ya barabara ambayo hivi sasa ipo 46% ya Ujenzi.

Cha kushangaza tarehe 17 Oktoba 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi akamuagiza Waziri wa Ujenzi Kadogosa amchukulie hatua Meneja wa TANROADS Mhandisi Bishanga ambaye kasimamia huo mradi kwa miezi 7 tu kati ya miezi 39 ya ujenzi wa hii Barabara.

MASWALI KWA MAKAMU WA RAIS DK. NDEJEMBI

1. Kwanini hajamchukulia hatua yoyote Mkandarasi ambaye alitakiwa akabidhi mradi mwezi Machi 2025 hadi leo Oktoba 2026 bado mradi upo 45% tu?

2. Kwaninii Ndejembi hajamchukulia hatua Mkandarasi ambaye kalipwa hela zote na akashindwa kukabidhi mradi? Pia mkandarasi hata alipo ambiwa Makamu anaenda site, wala hakufika eneo la tukio na hajsonesha kuguswa?

3. Kwanini Ndejembi hajamchukulia hatua Mkurugenzi wa TANROADS anayesimamia barabara zote Nchini akakimbilia kwa Meneja wa Mkoa ambaye kituo chake cha Kazi ni Songwe na Mbeya kaletwa kusimamia huu mradi?

4. Kwanini Ndejembi hajahoji sababu za Waziri kufanya Kikao Usiku na Meneja akapewa majukumu ya kumobilise Wakandarasi wawe Site katika maeneo 32 korofi kisa Makamu anakuja asikose sehemu ya kupita. Angekuwa yeye angeweza kuwa kila sehemu?

Na Wakandarasi waliahidi watakuwa Site, Asubuhi kaamkia kumpokea Makamu, kwenye msafara anaulizwa kama mkandarasi yupo Site akajibu ndio. Kwani walisema watakuwa site Mbele ya Waziri. Kumbe hawajaenda. Kwanini Mkandarasi hajagombezwa?

View attachment 3692901
JE MAKAMU WA RAIS DR. DEOGRATIAS NDEJEMBI ANAWEZA KUMFOKEA MKANDARASI CHICO?

Jibu ni hapana.

Hii Kampuni Mawaziri Kibao na Viongozi Mbalimbali akiwemo Hayati Pombe Magufuli, walishashindwa kuiadhibu wala kuichukulia hatua. Hadi Baadhi ya Viongozi wakampiga marufuku CHICO kufanya kazi Tanzania lakini bado inapewa Kandarasi na kulipwa fedha zote kila mradi. Hapa chini nitaweka miradi kadhaa.

Je, nani yupo Nyuma ya hii Kampuni ya Kichina?

TUJIKUMBUSHE MAWAZIRI WALIOWAHI KUKUTANANA MFUPA WA CHICO

1. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 9 Oktoba 2012, wakati alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikagua barabara ya Sekenke–Shelui, mkoani Singida, iliyokuwa imejengwa upya na CHICO.
Alisema Serikali ilikuwa imetumia zaidi ya shilingi bilioni 35, lakini barabara hiyo ilikuwa imejengwa chini ya kiwango kiasi kwamba ng'ombe akkikannyaga lami inabonyea. Hata hivyo alilipwa hela ypte.

2. Abdallah Ulega akiwa Waziri wa Ujenzi Tarehe: 22 Aprili 2025. Alikosoa kasi ya ujenzi wa Nsalaga–Ifisi, Mbeya, na kumpa CHICO siku 30 kuongeza kasi ya kazi. Lakini hadi leo 17 Oktoba 2026 bado ipo 45%

3. Innocent Bashungwa akiwa Waziri wa Ujenzi Tarehe 22 Machi 2024 alikosoa ubora wa barabara ya Kilindoni–Utende, Mafia, iliyojengwa na CHICO, na kuagiza mkandarasi arudie sehemu yenye mapungufu kwa gharama zake. Hakurudia na hajafanywa chochote

4. Seleman Kakoso akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
Tarehe: 12 Machi 2024 aliitaka Wizara ya Ujenzi kuhakikisha CHICO inakamilisha barabara za Noranga–Itigi na Doroto–Noranga kwa wakati kulingana na mkataba lakini hakufanya hivyo.

5. Godfrey Kasekenya akiwa Naibu Waziri wa ujenzi, Tarehe Desemba 2021 lionyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani iliyokuwa ikijengwa na CHICO, na kueleza wasiwasi kuhusu ubora wa baadhi ya barabara nyingine zilizojengwa na kampuni hiyo. Hata hivyo alikuwa kashalipwa hela zote.

Alionya kwamba wakandarasi wa kimataifa wanaofanya vibaya wanaweza kukosa kazi sehemu nyingine ikiwemo CHIKO. Hata hivyo, taarifa hiyo haithibitishi kuwa CHICO iliwekewa marufuku rasmi.

Mjadala upo wazi. Ni kipi kinafanya Viongozi wa CCM waiogope hii Kampuni ya China?
View attachment 3692863View attachment 3692864
Kumbukizi 2012: Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu.
View attachment 3692933
Suleiman Bishanga ni Mhandisi wa barabara na ujenzi (Civil Engineering) ambaye kaajiriwa na TANROADS.

Rekodi ya Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) inaonesha Suleiman Bishanga ni Civil Engineer, mwenye Leseni namba ya usajili 3525.

Kabla ya kupelekwa Mbeya 2026, alikuwa anakaimu kama Meneja wa TANROADS Mkoa wa Songwe mwaka 2024 na Mwaka 2025 akapandishwa kuwa Meneja Mkoa wa Songwe wa TANROADS
Huyo chiko si ndiye alikua akijenga kipande cha singida-manyoni Ile 2000-2005!?..kama ndiye huyo ni mbwa na itakua ya wakubwa flan tangu kitambo,kama sikosei alipewa pia kibiti-lindi miaka, waziri husika mramba bungeni alipoulizwa akasema mkandarasi kiburi
 
Tatizo hili la serikali kupigwa mweleka na kugaragazwa katika miradi ya kimkakati ni kubwa sana, mifumo haisomani, watunga sera na watekelezaji hawasomani, wasimamizi na watoaji fedha kwa kulingana na kazi iliyofanyika hawaelewani n.k n.k

JINSI MRADI WA SGR INAVYOIGARAGAZA SERIKALI

Maelezo yana udanganyifu mwingi

Nikama kuna mtu anatetewa jukwaani!!!!

Lkn niwazi kuna tatizo kwenye Ujenzi wetu !!!

Ugumu mwengine Waziri usika nae ni Mpya kabisa Ujenzi!!!!

kampuni ya Chico ingechunguzwa kwa utulivu kujua kwanini Barabara zake zinachelewa kujengwa Tatizo lipo wapi ni wao au Serikali upande wa malipo ❗
 
Oct 18, 2026
Njombe, Tanzania

Barabara ya zege urefu wa kilometa 50 kutoka Itoni -hadi Lusitu kugharimu Shs. 120 billion ujenzi wasuasua

View: https://m.youtube.com/watch?v=ftjr5g8zdXA
Waziri Engineer Masanja Kadogosa, aagizwa na makamu wa rais Deogratious Ndejembi kuhakikisha ina ..

Mbunge wa upinzani Bi. Sigrada atoa ya moyoni kuhusu serikali inayotoa ahadi kibao ila hazitekelezwi... barabara za Lupembe Ludewa Mbeya itazamwe ...

Masanja Kadogoda azungumza kuhusu miradi mikubwa inayoendelea ikiwemo Barabara ya zege urefu wa kilometa 50 kutoka Itoni -hadi Lusitu .. huyu mkandarasi wa barabara Njombe ana arrogance na ndiye pia anayejenga SGR Reli mpya kipande cha Tabora hadi Kigoma ..
 
Huyo chiko si ndiye alikua akijenga kipande cha singida-manyoni Ile 2000-2005!?..kama ndiye huyo ni mbwa na itakua ya wakubwa flan tangu kitambo,kama sikosei alipewa pia kibiti-lindi miaka, waziri husika mramba bungeni alipoulizwa akasema mkandarasi kiburi
Ndo huyo huyo.. Halafu ana jeuri balaa.. Watawala hasira zao wanamalizia kwa watendaji wa Serikali.

Wanadai Mameneja wa TANROADS Mkoa ndo jicho la Serikali kwa mkandarasi asiye fanya kazi. Meneja anakuwaje jicho kwa mkandarasi anayekula na wakubwa?
 
Wakuu Salaam,

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi, amemtaka Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, kuhakikisha hatua za uwajibikaji zinachukuliwa dhidi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Suleiman Bishanga, sababu ikiwa ni kuchelewa kwa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga (Uyole) hadi Ifisi jijini Mbeya yenye urefu wa kilomita 29 kwa Bilioni 184. Amelipwa hela zote na akakopeshwa bilioni 20 lakini hayupo site.

Mimi nahisi Ndejembi anaingia kwenye vita ambayo haiwezi matokeo yake anaishia kuumiza Dagaa(Mameneja wa Mikoa) ya Songwe na Mbeya.

Kwanini nasema hana uwezo wa kugusa hii Kampuni?
View attachment 3692885
Kwa utaratibu wa kiongozi bora, Makamu wa Rais anatakiwa amhoji Waziri, Waziri amhoji Mkurugenzi wa TANROADS, Mkurugenzi amhoji Meneja kuhusu barabara kuchelewa.

Hapa chini nitaelezea kwa urefu kwanini huyu Makamu wa Rais Mgeni Ofisini asipokuwa makini atajikuta anaumiza watu wasio husika.

Hii barabara ya njia nne ya Nsalaga (Uyole) hadi Ifisi, Mbeya inajengwa na China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO)

Mkataba wa ujenzi wa hizi kilomita 29 ulisainiwa tarehe 14 Februari 2023 na ilitakiwa kukamilika tarehe 13 Machi 2025. Kumbuka Mkandarasi kashalipwa gharama zote za mradi za eneo hilo, hadai kitu bali Serikali ndo inamdai. Kwanza alitakiwa aje na mtaji wake.

Na kutomaliza kazi kwa wakati hakuna hatua zilichukuliwa.

Hadi kipindi cha Mkataba kuisha 13 Machi 2025, alikuwa kajenga 24% tu ya Mradi wakati alitakiwa kukabidhi Mradi.🤣🤣

Kutokana kusuasua kwa ujenzi wa Barabara hii, TANROADS ilimuondoa aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mbeya na Machi 2026 wakamleta Mkandisi Suleiman Bishangabashaija aliyekuwa akisimamia Mradi ya Barabara Mkoani Songwe iliwemo barabara ya TAZAM (Tanzania Zambia, Malawi) njia sita. Uchapakazi na kufanya kazi kwa kujituma usiku na mchana ndo kulisababisha Bishangabashaija aletwe Mbeya kusimamia hii barabara iishe(Kuokoa jahazi). Leo anaambiwa kala hela za Mkandarasi ndo maana barabara haiishi🤣🤣

Mhandisi Suleiman Bishanga aliweza kumsimamia Mkandarasi kwa miezi sita akajenga 20% ya barabara ambayo hivi sasa ipo 46% ya Ujenzi.

Cha kushangaza tarehe 17 Oktoba 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Deogratius Ndejembi akamuagiza Waziri wa Ujenzi Kadogosa amchukulie hatua Meneja wa TANROADS Mhandisi Bishanga ambaye kasimamia huo mradi kwa miezi 7 tu kati ya miezi 39 ya ujenzi wa hii Barabara.

MASWALI KWA MAKAMU WA RAIS DK. NDEJEMBI

1. Kwanini hajamchukulia hatua yoyote Mkandarasi ambaye alitakiwa akabidhi mradi mwezi Machi 2025 hadi leo Oktoba 2026 bado mradi upo 45% tu?

2. Kwaninii Ndejembi hajamchukulia hatua Mkandarasi ambaye kalipwa hela zote na akashindwa kukabidhi mradi? Pia mkandarasi hata alipo ambiwa Makamu anaenda site, wala hakufika eneo la tukio na hajsonesha kuguswa?

3. Kwanini Ndejembi hajamchukulia hatua Mkurugenzi wa TANROADS anayesimamia barabara zote Nchini akakimbilia kwa Meneja wa Mkoa ambaye kituo chake cha Kazi ni Songwe na Mbeya kaletwa kusimamia huu mradi?

4. Kwanini Ndejembi hajahoji sababu za Waziri kufanya Kikao Usiku na Meneja akapewa majukumu ya kumobilise Wakandarasi wawe Site katika maeneo 32 korofi kisa Makamu anakuja asikose sehemu ya kupita. Angekuwa yeye angeweza kuwa kila sehemu?

Na Wakandarasi waliahidi watakuwa Site, Asubuhi kaamkia kumpokea Makamu, kwenye msafara anaulizwa kama mkandarasi yupo Site akajibu ndio. Kwani walisema watakuwa site Mbele ya Waziri. Kumbe hawajaenda. Kwanini Mkandarasi hajagombezwa?

View attachment 3692901
JE MAKAMU WA RAIS DR. DEOGRATIAS NDEJEMBI ANAWEZA KUMFOKEA MKANDARASI CHICO?

Jibu ni hapana.

Hii Kampuni Mawaziri Kibao na Viongozi Mbalimbali akiwemo Hayati Pombe Magufuli, walishashindwa kuiadhibu wala kuichukulia hatua. Hadi Baadhi ya Viongozi wakampiga marufuku CHICO kufanya kazi Tanzania lakini bado inapewa Kandarasi na kulipwa fedha zote kila mradi. Hapa chini nitaweka miradi kadhaa.

Je, nani yupo Nyuma ya hii Kampuni ya Kichina?

TUJIKUMBUSHE MAWAZIRI WALIOWAHI KUKUTANANA MFUPA WA CHICO

1. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 9 Oktoba 2012, wakati alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikagua barabara ya Sekenke–Shelui, mkoani Singida, iliyokuwa imejengwa upya na CHICO.
Alisema Serikali ilikuwa imetumia zaidi ya shilingi bilioni 35, lakini barabara hiyo ilikuwa imejengwa chini ya kiwango kiasi kwamba ng'ombe akkikannyaga lami inabonyea. Hata hivyo alilipwa hela ypte.

2. Abdallah Ulega akiwa Waziri wa Ujenzi Tarehe: 22 Aprili 2025. Alikosoa kasi ya ujenzi wa Nsalaga–Ifisi, Mbeya, na kumpa CHICO siku 30 kuongeza kasi ya kazi. Lakini hadi leo 17 Oktoba 2026 bado ipo 45%

3. Innocent Bashungwa akiwa Waziri wa Ujenzi Tarehe 22 Machi 2024 alikosoa ubora wa barabara ya Kilindoni–Utende, Mafia, iliyojengwa na CHICO, na kuagiza mkandarasi arudie sehemu yenye mapungufu kwa gharama zake. Hakurudia na hajafanywa chochote

4. Seleman Kakoso akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
Tarehe: 12 Machi 2024 aliitaka Wizara ya Ujenzi kuhakikisha CHICO inakamilisha barabara za Noranga–Itigi na Doroto–Noranga kwa wakati kulingana na mkataba lakini hakufanya hivyo.

5. Godfrey Kasekenya akiwa Naibu Waziri wa ujenzi, Tarehe Desemba 2021 lionyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani iliyokuwa ikijengwa na CHICO, na kueleza wasiwasi kuhusu ubora wa baadhi ya barabara nyingine zilizojengwa na kampuni hiyo. Hata hivyo alikuwa kashalipwa hela zote.

Alionya kwamba wakandarasi wa kimataifa wanaofanya vibaya wanaweza kukosa kazi sehemu nyingine ikiwemo CHIKO. Hata hivyo, taarifa hiyo haithibitishi kuwa CHICO iliwekewa marufuku rasmi.

Mjadala upo wazi. Ni kipi kinafanya Viongozi wa CCM waiogope hii Kampuni ya China?
View attachment 3692863View attachment 3692864
Kumbukizi 2012: Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu.
View attachment 3692933
Suleiman Bishanga ni Mhandisi wa barabara na ujenzi (Civil Engineering) ambaye kaajiriwa na TANROADS.

Rekodi ya Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) inaonesha Suleiman Bishanga ni Civil Engineer, mwenye Leseni namba ya usajili 3525.

Kabla ya kupelekwa Mbeya 2026, alikuwa anakaimu kama Meneja wa TANROADS Mkoa wa Songwe mwaka 2024 na Mwaka 2025 akapandishwa kuwa Meneja Mkoa wa Songwe wa TANROADS
Mazafaka naye anaitwa Doctor siku hizi?
 
Jidanganye
 
Bado hujaeleza ulichokitaka kukueleza japo wenye D mbili tumeelewa.
 
Hawa waache maigizo,watoe pesa za ujenzi wa Barabara badala ya kutoa kafara Watumishi wa Umma Kwa maslahi ya kijinga ya Kisiasa.

Hata Ndejembi awe Meneja au Waziri bila pesa hakuna kitakachojengwa.
Si wanadai wameshatoa pesa yote.
Au Vice katupiga chenga.
 
Back
Top Bottom