Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya kuna wakati vumbi linajaa mji mzima ,huwa nashangaa sijui linatoka wapi[emoji1][emoji1]

Nature ya udongo, ardhi iko exposed sababu ya shughuli za kijamii zisizojali uhifadhi wa mazingira, ukijumuisha na upepo unaovuma usio na kizuizi chochote (hakuna miti) basi vumbi ni kama powder laini.

Suluhisho hapa ni upandaji wa miti kwa wingi, mji uwe kweli green city. Hii wala sio rocket science.
Hili vumbi pia utalipata sana sehemu zisizo na miti kama baadhi ya Wilaya za Dodoma au sehemu mama Makambako. Mbeya wasione Tabu kwenda ku-Benchmark sehemu kama Arusha, Moshi, Iringa kwa namna miji hii ilivyo na miti mingi inayosaidia kufanya hewa iwe safi na kuboresha mandhari ya mji.
 
Mbeya sajawahi kupaelewa kabisa mji wa hovyo mno bora hata Iringa au Songea zipo well organized
 
Nimekaa sana mbeya,mkoa huo nlikuwa naukubali sana
Vp block T Bado kumepangika

Ova
 
Ni kweli usemalo local government inaplay part kubwa. Madiwani tunaowchagua mbeya hawajielewi. Awamu iliyopita ndio walikuwa wa hovyo kuwahi kutokea. Hii ishu ya vibajaji kila sehemu sijui ni nini kinawashinda maana lipo ndani ya uwezo wao

Jiji limekua la wamachinga kila sehemu, wanawaza kukusanya ushuru tuu
 
Mbeya ndio jiji la mwisho katika planning pia ni Unorganized, noisy, and uncivilized. Haieleweki Down town wapi wala Uptown wapi lipo lipo tu japo kimapato liko juu
 
Najiuliza ni pabaya au Camera yako ndio inapiga picha mbaya?

Kwa sisi wageni na huo mji tunajiuliza au hii picha uliipiga mwaka 2009 BC?
Hiyo ndio mbeya na hilo ni vumbi mpka kwenye mabati, mbeya haina tofauti na mapango ya wahadzabe.
 
Hapo hakuna jiji bali kuna gulio la wauza mchele na viazi, jiji halina vibe jiji limejaa waluga luga tu, muda wote wanawaza kuvuna mpunga, watu wanajazana kwenye soko la mwanjelwa siku ya sikukuu wakipiga picha kwenye magunia ya maharage tabu sana hilo likijiji.
 
Katikati kwani hujui ni maeneo ya zamani na mostly ni ya biashara? Nyumba za Kisasa zitoke wapi?

Kwanza ituha,ilemi ,Uyole nk kote Kuna nyumba za Kisasa zipo
Tatizo huwa una akili kama zombie, unaweza kusifia hata nyumba za udongo zilizoezekwa kwa madebe matupu,mbeya hakuna mji bali kuna kijiji kikubwa kinachokusanya wakulima kutoka sehemu mbalimbali ya nchi.
 
Pabaya wapi alipogusa? Mtoa mada ni mjinga Fulani tuu wa huko Dar kunakonuka.
Mtoa mada ni mtu wa Iringa na anaishi mbeya kwasasa, mnataka kusaidiwa ili gulio lenu livutie lakini unajifanya mjuaji hii yote ni Tanzania naweza kutaka kuishi huko mbeya lakini kama hakuna facilities za msingi sitaweza kuwekeza huko.
 
Uzuri ni kwamba ukuaji wa Jiji la mbeya halitegemei msukumo wa selikali ka uko kwenu!
 
Hayo madiwani wa mbeya na wabunhe wao hawaishi huko mbeya wana makazi Dar, kwa hilo mkaliangalie.
 
We mluga luga acha ushamba na unatakiwa kutembea uone miji, hilo vumbi na nyumba za tembe za hapo mbeya basi unaona mbeya ni jiji zuriii kama Las vegas
Na kashupaa kishenzi kuukanusha huu uzi, ilhali kinachosemwa ni kweli kabisa. May be hajatoka nje ya mkoa ku-experience the difference
 
Mbeya ndio jiji la mwisho katika planning pia ni Unorganized, noisy, and uncivilized. Haieleweki Down town wapi wala Uptown wapi lipo lipo tu japo kimapato liko juu
Tabu sana hilo li mji la ovyo kabisaa, nipo tayari kuishi tandahimba kuliko hilo likijiji likubwa lenye mkusanyiko la wakulima wa majarubani.
 
Na kashupaa kishenzi kuukanusha huu uzi, ilhali kinachosemwa ni kweli kabisa. May be hajatoka nje ya mkoa ku-experience the difference
Tunataka kuwasaidia tuwavushe kutoka mji wa kijima mpaka mji ufanane angalau kama singida kwa mpangilio naona anashupaza fuvu kama zamadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…