Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Hiyo highway ndio itabadirisha uchafu na maudongo ya mji wenu, raha ya jiju ni skyscrappers na mpangilio mzuli ikiwemo shopping centres, recreational parks, malls na barabara za uhakika.
Uchafu uko Mwanza aisee ni shida tupu..

Of course will change each and every thing there yaani mambo itakuwa bam bam 🔥🔥
 
Daaaah facts sana niliboreka sana kipindi nimefika hapo
 
😁😁😁 Siasa imeharibu kabisa mkoa ule
 
Mikoa ya mbeya na iringa geographical yake inachangia sana hiyo miji kutoendelea ..
mfano Iringa Ile milima milima mpaka katkt ya mji Yan inaondoa Vibe kichiz
 
Kajifunze ku post kwanza ndio uje kwenye Mjadala
Personal attack na unataka kushinda,Unajua kwanini nimeacha ku argue nawewe?!nmegundua huna facts,unaishindanisha miji na hutaki Mbeya ishindwe,uko tayari kuficha uozo unaofanywa na viongozi kuidunisha Mbeya yetu,Viongozi wenye maono hafifu kuhusu Mbeya ni lazima waambiwe ukweli!Huna Nia njema na Mbeya mkuu,ungekuwa na Nia njema na mkoa huo basi ungetambua kirahisi Hilo Jiji linakwamishwa na viongozi mbumbu waliokosa exposure.

Siwezi kujifariji ujinga Mimi,MBEYA INA MPANGILIO MBOVU KULIKO MAJIJI YOTE TANZANIA,bila kusahau ukosefu wa KMS za barabara za lami.
 
Kajifunze ku post kwanza ndio uje uulize upwe,ukinpost vizuri nitag
 
Watu wanakaza fuvu na ubongo balaaa[emoji38][emoji38]
Kiukweli kama umezurura kidogo kwa baadhi ya majiji ya Tanzania una haki ya kusema Mbeya hapajengeka….. kwa upande wangu mie nasema ni kukosa viongozi wene vision na mji wetu na ukichanganya na Siasa za uchadema na uccm ndiyo chanzo cha kuharibikia hapo huu mji…

Ukitaka uone mji wa mbeya NENDA Iwambi forest ya zamani, sai uzunguni isyesye kwa Tulia ndipo utajua kuwa mbeya imejengeka na sio Kama usemavyo [emoji354]
 
Fact

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Nimetembea sana hasa Mwanza nilichokiona ni mara 1000 Mbeya, yaani Mwanza ya mabanda ya nguruwe ndio mtu anaweza sema ametembea? Acha ujinga wewe ngumbaru
Hivi wewe jiji la wasukuma lilikufanya nini?Mwanza inaingiaje hapa wewe pambana na Mbeya yako waachie wasukuma na jiji lao.halafu nimekwambia acha kulinganisha Mwanza na vimiji vyako hivyo.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…